Hatimaye Mo Dewji anamalizia mwaka kwa azimio la kutowavumilia wanaomtolea lugha za matusi kwenye mitandao ya kijamii kwa mwaka 2021

Tatizo lako umama mwingi. Halaf mimi siyo mwanaume kama maybe ndo tamanio lako. Sina msaada kwako. Bye
Unaaga mara ngapi? hiyo ni dalili kua ni jinsi gani usivyokua na maamuzi na kutokujiamini,
Mama yako ana nini mpaka useme Umama mwingi? hebu tujuze.
 
mkuu nisamehe, niliamini unajua Mudi ni nani ila unajitoa ufahamu. Mohamed huku uswazi huwa yamefupishwa hivyo kabisa na ni kawaida wala si matusi wala dhihaka. Mbona wapo wengi sana mtaani wanaitwa hivyo?
Hapana nadhani yeye hajakataza kuitwa Jina la Utani kama ni kawaida ya wana Uswazi kuita hivyo.
Yeye hataki kutukanwa matusi.
Nadhani unayajua MATUSI.
 
Ishu ni kwamba hataki kutukanwa na Katoa tahadhari.
Sasa kama mtu anaona amejificha ktk fake ID na anaona yuko salama na anataka kumtukana basi kitakacho mkuta aridhike nacho.
Asije akalalamika kuwa ameonewa.
Mudi angekuwa ametoa billionea 20 za simba wala hata asingekuwa na hiyo mihemko inayomuendesha kupigizana kelele na watu mitandaoni.
 
Hapana nadhani yeye hajakataza kuitwa Jina la Utani kama ni kawaida ya wana Uswazi kuita hivyo.
Yeye hataki kutukanwa matusi.
Nadhani unayajua MATUSI.
Mkuu, na mimi ndo nakuambia hakuna matusi. Hakuna hilo. Na hata yangekuwepo nisingehangaika nayo. Hivi kweli matusi yanakuumiza? Hivi Mo anaijua position yake kweli kabisa? Nikisema yuko weak nakosea? Anapenda uswahili jamaa. Short and clear. Nakuhakikishia ni hataki ulizwa juu ya mpira na basi. Yaan nikahamgaike na comments za watu hata siwajui?
 
Mudi hawezi vumilia vijembe 2021, alianza na Kigwangwise next ni wapwa
Imagine. Yaan ile siku anaulizwa juu ya bil 20. Analeta mada za mkopo wa bodaboda. Baada ya kuona amewashiwa moto akakimbilia inbox ya kigwa kuomba wakae wayamalize. Yaan hanaga kifua. Hawezi vumilia asilani. Anachambana na mtoto wa mbwa kigwa? Nikasema heeh. Ni vile kigwa alipigwa stop maana hizo spana angekoma.

Halaf mjanjaaaa... hajaenda kutweet huko twita kwa wapwa anajua kingempata nini wangenfurahisha wapwa maana kule hawanaga shobi
 
Back
Top Bottom