Hatimaye Mo Dewji anamalizia mwaka kwa azimio la kutowavumilia wanaomtolea lugha za matusi kwenye mitandao ya kijamii kwa mwaka 2021

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Sitavumilia- MO
-
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ( @moodewji ) amesema mwaka 2021 hatowavumilia wale wote wanaotoa lugha za matusi na kumvunjia heshima.

Mo ametoa onyo hilo jana kupitia ujumbe wake mrefu wa kufunga mwaka 2020 aliouchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram.

"Azimio langu kwa mwaka ujao humu mtandaoni ni kutovumilia wale wenye lugha za matusi na kunivunjia heshima mimi binafsi.

"Nitalazimika, japo kwa shingo upande na moyo mzito sana, kuwa-block, ku-report na ikibidi, kuchukua hatua za kisheria. Naamini kutumia lugha ya matusi na kudhalilisha dhidi ya mtu katika hadhara si ustaarabu wetu Watanzania, si maadili ya dini zetu na si uungwana pia.

"Sote tuna maisha nje ya mtandaoni. Wengi wetu ni wazazi, tunao pia wazazi, wategemezi na watu wengine muhimu kwetu ambao tunawaheshimu, wanatuheshimu na wana matarajio juu yetu," amesema Mo na kuongeza kuwa;

"Haipendezi kuwakwaza na kuwaumiza hao wanaotuthamini na kutuheshimu kwa figisu za maisha yetu ya mtandaoni.

"Nachukua fursa hii kuwaomba radhi wale wote niliowakwaza mtandaoni katika mwaka huu unaoishia. Nami nimesamehe wale wote ambao walinikwanza kwa namna moja au nyingine," amesema Mo

Kuhusu Simba

Aidha, kuhusu Klabu ya Simba, Mo amesema; "Tunapomaliza mwaka, nawashukuru wote humu mtandaoni kwa kunikosoa, kunijenga na kunishauri mengi mimi binafsi na klabu yetu ya @SimbaSCTanzania.

"Mawazo yenu, michango yenu na matani yenu yamenifanya kufurahia uwepo wangu humu mtandaoni.

"Nawashukuru kwa daima kusimama nami katika nyakati zote na majira yote. Iwe heri, iwe shari, mmenionyesha upendo usio kifani.

"Naahidi kuendelea kuwa mtumiaji mwaminifu, mtiifu na mvumilivu wa mtandao huu mwakani," amesema MO.

Taarifa: mtanzanianews
 
Wahindi sio watu aisee.. wajanja vibaya sana
Ni kweli kabisa meku

Halaf bora Manji. Mo ni mchoyo aisee. Ubaya zaidi Mo biashara si za familia? Lazima familia pia wapitishe kila kitu kwanza. Ananifurahishaga anaposema bil 20 bado ilihali anasema eti kila mwezi matumizi bil 3. Yaan eti anafanya favour tu. Hivi nyie munaamini hili kweli? Au ndo itakua mkopo kama wa manji kwa yanga
 
We ukishaona muhindi anafanya biashara ya hasara?
 
Mudiiii
Screenshot_20201229-182707.jpg
 
Kameanza,kalishindwa kuwashughulika walikavalisha kanga katawaweza watu wa mitandaoni
 
Ni kweli kabisa meku

Halaf bora Manji. Mo ni mchoyo aisee. Ubaya zaidi Mo biashara si za familia? Lazima familia pia wapitishe kila kitu kwanza. Ananifurahishaga anaposema bil 20 bado ilihali anasema eti kila mwezi matumizi bil 3. Yaan eti anafanya favour tu. Hivi nyie munaamini hili kweli? Au ndo itakua mkopo kama wa manji kwa yanga
Kwani Manji ile biashara sio ya familia?
 
Ni kweli kabisa meku

Halaf bora Manji. Mo ni mchoyo aisee. Ubaya zaidi Mo biashara si za familia? Lazima familia pia wapitishe kila kitu kwanza. Ananifurahishaga anaposema bil 20 bado ilihali anasema eti kila mwezi matumizi bil 3. Yaan eti anafanya favour tu. Hivi nyie munaamini hili kweli? Au ndo itakua mkopo kama wa manji kwa yanga
Sawa yeye ni biashara ya familia,je wewe familia yako ina biashara gani? inaisaidia vipi jamii au watu wasiojiweza?
 
Ila huku mitandaoni jamani... yaan mtu atatoka nje ya mada kabisa. Tunaongelea soka anakuletea mambo yako personal. Yes... tunafanya pia kwa nafasi yetu.

Tuache kuwa wahinga kwa hawa wahindi. Tuache kunyenyekea watu.

Bye.....
 
Ameyataka mwenyewe, watz ni wazuri sana kwenye black mailing and bullying na hii yote ni wivu , chuki na roho mbaya

Sidhani watamuogopa, the best way is to keep personal life private..
Anapenda jina, matajiri wenzie kila business ina ID yake,
Yeye ndio simba, yeye ndio mo energy yeye ndio mo juice...

Atulie a deal na kizazi kisicho na ajira na mashabiki wasiojielewa

Bakhresa, Rostam huwez waona na hizo mambo
Hata hawa waliotangulia mbele za haki hawakuwa hivi
Mengi
Mufuruki
Subash Patel etx
 
Ila huku mitandaoni jamani... yaan mtu atatoka nje ya mada kabisa. Tunaongelea soka anakuletea mambo yako personal. Yes... tunafanya pia kwa nafasi yetu.

Tuache kuwa wahinga kwa hawa wahindi. Tuache kunyenyekea watu.

Bye.....
Wewe ndiye uliyeanza kutoka nje ya mada na kujadili biashara za familia ya MO na kumkejele kua biashara ni ya familia na hata fedha anazotoa kwa Club kwasasa ukakejeli,au ulikua unaandika huku ukiwa usingizini?
 
MO yuko sahihi sana.

Unamtukanaje mtu halafu uhesabiwe haki ?
Wengi mnaobisha inamaana mnataka mruhusiwe kumtukana bila sababu ?

MO fanya kweli.
 
Back
Top Bottom