Hatimaye Miss Tanzania Julitha Kibete aingia 20 bora ya Beauty With Purpose katika Miss World Sanya China

Hivi waafrika tunafanyaga makusudi au? Mbona kila siku huwa nakutana na watoto wazuri sijawahi ona duniani, yaani mpaka moyo huwa unanitetemeka kwa uzuri wao, ila tunaowapeleka miss world ndio huwa nakosa majibu, hivi hao majaji wetu wa miss tz ni magasho au?
 
View attachment 633479
Kwa mara nyingine tena Miss Tanzania 2017 Julitha Kabete ameshindwa kuchomoza katika mashindano ya Miss World yaliyomalizika usiku wa leo huko Sanya China.

Hapo akiwa haamini aliposikia jina lake likitangaza kuwa mrembo wa dunia huku pembeni kulia kwake akiwa ni miss Kenya na kushoto miss Mexico
View attachment 633512

Na Taji limekwenda kwa Miss India Manisha
View attachment 633503

Miss Kenya ameingia katika tano bora za miss world
View attachment 633485

Miss Tanzania hajafika mikono mitupu ameingia katika 20 bora ya Beauty With purpose.... Ni taasisi ndani ya miss World inayoshughulika na huduma za watoto dunia nzima.
View attachment 633484
mbona sielewi kuwa miss world ni mrembo kuzidi hata mkwe wangu au ni vitu gani wanaangalia
 
Hivi waafrika tunafanyaga makusudi au? Mbona kila siku huwa nakutana na watoto wazuri sijawahi ona duniani, yaani mpaka moyo huwa unanitetemeka kwa uzuri wao, ila tunaowapeleka miss world ndio huwa nakosa majibu, hivi hao majaji wetu wa miss tz ni magasho au?
Unakutananao wapi?
 
Sijawahi kuona faida ya mashindano ya umis. Utaskia anatangaza nchi, utalii sijui watoto kwan asipokuwepo hatuwezi kutangaza hayo?
Umis hauna maana yoyote, naskia kamati ya Lundege huwa inawakula sana
 
Back
Top Bottom