Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Leo hii katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni yule mnyange wetu aliyekuwa rumande toka ijumaa hatimaye amepandishwa tena kizimbani na kupewa dhamana.,hii ni baada ya juhudi za toka jana za 'uncle' Hashim Lundenga.,kimwana sasa yupo uraiani..
 
mmmh scandal ndo zimeanza
sijui tuyategemee ya Ms Sepetu tena
these kids bana aaaaagrrrrrrrrrrrrrrrr
 
jamaa yake nae vip?
Leo hii katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni yule mnyange wetu aliyekuwa rumande toka ijumaa hatimaye amepandishwa tena kizimbani na kupewa dhamana.,hii ni baada ya juhudi za toka jana za 'uncle' Hashim Lundenga.,kimwana sasa yupo uraiani..
 
Watu wengine wanadhani ukiwa maarufu ndo unakuwa above the law. Ndo kama mambo ya kina Dudu Baya na TID, wakipata discipline kidogo inasaidia kupunguza kibri. Hawa mamiss wetu nao saa ingine wanatuaibisha na kujiaibisha, sasa ndo mfano gani kwa jamii wanatoa?
 
hawa wasichana duh, kila mwaka wakitawazwa kuwa ma miss wetu lazima tusikie jambo tena linalohusiana na matendo ya aibu kwa jamii .... eti wawakilishi wetu looo.... ugomvi na ma - mabwana tu hakuna kingine wanaweza kufanya....yale yale ya kina wema sepetu.

Lundenga kazi unayo mzee....
 
yale yale ya dadaa wema. tutegemee scandal zaidi, hapo ni kama kafungua chapter 1...
 
Nashangaa kampuni kama Vodacom wanawekeza mi pesa mingi huko wakati watu wenyewe ndo hawa hawana mbele wala nyuma kwa nini zile pesa wasiwe wanapeleka madaha hospitalini kila mwaka? aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah inachosha kabisa kwanza wote ni failures tu hakuna hata mwenye nafuu
 
Afadhali wafadhili wa mamiss wawasaidie yatima kuliko kuwasaidia watu wasio na msaada wowote kwenye hii jamii zaidi ya kutengeneza scandals
 
hawa wasichana duh, kila mwaka wakitawazwa kuwa ma miss wetu lazima tusikie jambo tena linalohusiana na matendo ya aibu kwa jamii .... eti wawakilishi wetu looo.... ugomvi na ma - mabwana tu hakuna kingine wanaweza kufanya....yale yale ya kina wema sepetu.

Lundenga kazi unayo mzee....

kazi anayo kweli kweli mjomba L.

nashangaa ameshindwa vipi kutimiza utaratibu amabo waliuwekwa kuwa mis akimisbehave watamnyang'anya zawadi na kumvua taji (sijui misbehaving to wat degree )
 
Hizo ni siasa za uncle L, si unajua yeye ni dalali tu wa hawa warembo!!
 
Inaonyesha waamuzi wa Miss Tanzania 2009 kuna kitu wali-miss! Ni aibu kuwa na kina Miss kama hawa ambao wana act just on impluse badala ya vichwa vyao!!
 
mmmh!!!
haya hao wenyewe wako wapi na wanchukua hatua gani kurekebisha haya mapungufu basi!!!

hii kitu haina hata maana tena
 
hivi baada ya mashindano nothing happens eeh
they are just left kama makuku ya kienyeji yajiendee kuchakura yanapotaka
no gidence nothing
tusije tukakalia kulaumu hawa mabinti jamani, kwa umri wao mi naona bado wanahitaji sm kind of muongozo basi angalau. umaarufu wa kuja ghafla tena ktk umri huu nao ni tatizo
 
Kabisa, kwa nchi zinazojali pulic image ya brand yao 'Vodacom Miss Tanzania', sasa hivi hawa jamaa wangekuwa wanahangaika sana kupata wadhamini....katika hali ya kawaida huwezi peleka pesa yako kwenye shindano kama hili lililochafuliwa na washindi karibu wote isipokuwa yule miss tanzania mwenye asili ya kihindi...na pengine Lundenga angelazimika kubadili hata jina la mashindano yake, mfumo mzima wa uandaaji na vigezo vya kupata washindi ili kuleta heshima ya shindano lenyewe na washiriki kwa ujumla.
 
Nafikiri wanapewa guidance kwa kipindi cha mwaka mmoja (kipindi unachoshika taji), baada ya hapo.....hawana habari na wewe kwani wanakuwa wameshamaliza kukutumia!!
 
Kabisa, kwa nchi zinazojali pulic image ya brand yao 'Vodacom Miss Tanzania', sasa hivi hawa jamaa wangekuwa wanahangaika sana kupata wadhamini....katika hali ya kawaida huwezi peleka pesa yako kwenye shindano kama hili lililochafuliwa na washindi karibu wote isipokuwa yule miss tanzania mwenye asili ya kihindi...na pengine Lundenga angelazimika kubadili hata jina la mashindano yake, mfumo mzima wa uandaaji na vigezo vya kupata washindi ili kuleta heshima ya shindano lenyewe na washiriki kwa ujumla.

Mamis wote scandal tuuuuuuuuuuuuuu au ni mojawapo ya sifa sasa tuseme hivyo

sishangai hata wazazi wengine wenye busara wanakataa watoto wao kushiriki huu upuuzi........wat for???

sioni umakini kwa waandaaji wala wadhamini...........nonesense!!!
 
wote wametoka anko alikuwa akisaidiana na ndugu za boifrend so wametoka wote

anko l akatoa wake na ndungu za mwanaume wamemtoa wao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom