Hatimaye Misri Yatetea Kombe

Muhunzi

Member
Feb 1, 2008
9
0
Ndugu wana JF,hii nikutaka kupata kujua mtizamo wenu.
Maana ninakhofu yakuwa Mwafrika Halisi hana cheka ktk ardhi yake,nawakati huohuo Mwafrika Wakuchonga anatawala soka letu.
Ilikuwa Tunisia,akampokea ndugu yake Misri nsye anaendelea kuling'ang'ania.
Je,ni kweli Waafrika tupo tayari kujilinganisha nawenzetu-nakhofu Afrika Kusini itakuwa ninchi Mwenyeji 2010 nakutupa aibu kwakutolewa mapema.Kwakweli hawapotayari natumeiona timu yao nidhaifu.Namuomba Maximo kiweke kikosi chetu tayari-kwani Cameroon anafungika basi usitutafutie sababu-ukweli unabakia soka haina mwenyewe- Je Wabongo mmejifunza toka huko Ghana?.
 
Back
Top Bottom