Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wingu, Jan 15, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu dada Kwa mujibu wa Issa michuzi ameonekana akifanya part ya kuagwa kwenda marekani kufanya kazi ubalozi wetu uliopo huko.Waheshimiwa kibao wameonekana among of them Hon lukuvi,Nchimbi.Mwenye wasifu Wa huyu dada embu atusaidie tumjue hasa ni nani huyu mtu.
   
 2. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
 3. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
 4. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ulizeni jamani mjue siri iliyomo ndaniiiiiiiiiiiiiiiii
   
 5. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tanzania na zaidi ya ijulikanavyo
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Joyce huyo Mindi ni mtoto wa kigogo gan. Waonekana kujua zaidi.
   
 7. m

  mhondo JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Itakuwa ndıyo kaanza leo labda. Sı kıla kıtu kına sıku ya kwanza!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Foster Mbuna-Mkapa kanenepa hivyo? Yuuuck
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bongo mtu yeyote anaweza kuwa celebrity bila kujali anachofanya. . .
   
 10. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Acheni wivu she is smart and self-made achiever Mimi nimesoma naye high school Kampala Uganda
   
 11. n

  nndondo JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Ni mtoto w adada yake na mama Mkapa, alipewa kazi ofisi ya mawasiliano ya Ikulu wakati huo ikiwa headed na balozi Kalage, mtoto wa ubatizo wa Rais Benjamin Mkapa, mambo ya kuwa self made and achivers si ya kweli, ni kubebana kulikopita mipaka yote, tunasubiri Tripolitan kwa hamu sana sana sana, tena napenda kumpa ujumbe huyu rais wenu, kuna watu wamesomea na kusotea kazi za diplomasia kwa miaka chungu nzima ni watanzania wenzetu akome kabisa kuzima ndoto zao kw akutumia kodi zetu, kama anataka kutoa sadaka kwa washikaji zake awatume kutumia mshahara wake asiougusa maana tumesikia hata suti anahongwa. na sisi tuache kulalamika tu hebu tuanza kumuonyesha kwa vitendo, 2012 ni year of comeback, go go go watanzania tuache uoga
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  basi ni Minde na sio Mindi
   
 13. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Huyu anaezungumziwa hapa ni Mindi Kasiga au? Yule mtoto wa regent?
   
 14. n

  namimih Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahh, ndiyo nyinyi mliokimbia shule za kata siyo??!!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ndo huyo huyo.
   
 16. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Blog ya Michuzi jana ilitoa picha ya tukio la Mindi Kasiga kuagwa akijiandaa kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Washington. Ghafla picha zile zilichomolewa toka kwenye wavuti. Wengi wanashangaa ni kwanini wahusika walifanya hivyo. Je ni kutokana Mindi kuwa mdogo wake Rahma Kharoos Kasiga anayesemekana ni nyumba ndogo ya bwana mkubwa au ile haya ya sherehe hiyo kuhdhuriwa na Adam Gile ambaye hatuna uhakika kama ana uhusiano na akina Gile wa Richmond? Je sababu ni kutotaka watanzania wasijue jinsi watu wanavyohudumiana na kupendeleana mchana kweupe?
   
 17. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Mhn!

  Maybe all of the above...

  Ama kutokana na mijadala ambayo ishaanzishwa humu na kina Hofstede, pengine ule uliopo jamii intelligence unaokwenda kwa heading yenye kuulizia file lake, kwenye sherehe ya kumuaga na kumpongeza kabla hajaenda marekani, alikuwepo Nchimbi na mawaziri wengine.

  Or else wamejishtukia kuwa kumbe soo bado halijaisha, wanakula tu na wamesahau kunawa, nothing else.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapo waliboogie step kabisa. Bad PR!
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  hawakujua walichemsha mpaka picha zilipotoka
   
 20. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Je ni kwanini wasiwape hizi kazi Watanzania wanaoishi USA badala ya kuleta watu kutoka Tanzania ambao wengi wanachua miaka mingi sana kuzoea utamaduni. Kila siku kuna malalamiko ya huduma kwasababu watu wanaofanya kazi hawajazoe mazingira. Mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya Tanzania kuajiri watu kutoka Tanzania kwenye shughuli za ubalozi kuna watu wengi sana USA na nchi nyingine ambao wangeweza kufanya hizo kazi na wengi wao hawahitaji kulipiwa vitu kama vyumba n.k maana ni wenyeji lakini ni wa Tanzania.
   
Loading...