Hatimaye Mh. Nape Nnauye awa Muhubiri wa neno la Mungu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Nape Moses Nnauye‏Verified account @Nnauye_Nape
HABAKUKI 3:17–18 17 Maana mtini hautachanua maua,Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda;Taabu ya mzeituni itakuwa bure,Na mashamba hayatatoa chakula;Zizini hamtakuwa na kundi,Wala vibandani hamtakuwa na kundi. 18 Walakini nitamfurahia BWANANitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.
 
ni lazima arudi kwa Mungu atubu baada ya kufunga goli la mkono ambalo sasa linatesa kote kote - kwake mwenyewe na CCM yake na pia kwa Watanzania wote.
 
Hata Shetani akizeeka huwa anageuka kuwa Malaika! Mtashika adabu bado Jiwe lina miaka 7 liyeyuke kuwa tope!
 
Kwa hivyo kuuandika tu huo mstari kwenye page yake ndio kugeuka mhubiri wa injili?? Poleni sana
 
Safi sana Mh.Nape Mosses Nnauye.Heri kuhubiri neno la Mungu na kupata Thawabu kuliko kutumikia Wanadamu.Mungu hana Ubaguzi wala Kisasi.
 
Back
Top Bottom