Hatimaye memba pendwa wa jf gentamycine aanza kupevuka kiakili.

Nimeamini GENTAMYCINE wakati mwingine anaonewa bure siamini hata Mimi naonekana niyeye dah ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
GENTAMYCINE anaonewa Sana nimegundua Ila pia tukiri tu kwamba ni Kati ya Wana jf wenye akili Sana Kama anavyojiita mult talented ni kweli maana utamkuta kwenye michezo uchumi mastori ya town ujasusi usalama connection nk kiufupi genta anachukiwa kutokana na karama zake alizojaaliwa na Maulana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom