Hatimaye Masheikh wameng'amua hili swala!

Ukweli kabisa, pindi mahusiano yalivokuwa moto moto na mupenzi. Huu ndo ulikuwa uwanja wangu wa kujidai. Siku hizi ameshazaa na mtoto hata nikimkumbushia yeye mwenyewe hataki. But na mimi hata sasa hivi sitaki tena hayo mambo.

Kipindi ile nafanya, ilikuwa sio kitu napanga, unajikuta tu inatokea maana intimacy inakuwa ipo juu sana.
 
Sawa kamanda mstaafu...
 
Hawa jamaa asilimia 90 ya mafundisho yao na mawaidha ni hizo sehemu zilizofichama na matendo yake
 
KI UKWELI HAKUNA USHAHIDI WOWOTE ULE UNASOEMA UNAKATAZA KUPIGA DEKI HAIFAI, HAKUNA USHAHIDI KATIKA MAANDIKO YA DINI.HOJA NYINGI NI SUALA LA KIAFYA. HAKUNA MAHAI AMBAPO MUNGU KATUKAZA KUPIGA DEKI....
 
Back
Top Bottom