Hatimaye Marioo kaupiga mwingi, raia wamemuelewa!

Kitakachomwangusha marioo ni mashabiki... Kuna mashabiki maandazi ambao kazi yao ni kuwapambanisha wasanii wanaochipukia (marioo) na matycoon (diamond) kana kwamba wana uwezo sawa... Badala ya kumpa sapoti afike levo za juu zaidi wanaanza kumpambanisha na waliofika level fulani

Kuna uzi humu unampambanisha na rayvanny lakini hawa hawalingani. Level ya marioo ni kama ya mbosso kwa sasa, wanahitaji kukua zaidi

Without hate lets support good music
We ndo shabiki andazi kabisa, rayvan hamna kitu mule, mbosso mwenyewe anamzidi mbali mno rayvan, rayvan nje ya wcb ni utopolo. Kinachosikitisha ni huyo Mario cjui katumia akili za saangapi kujiunga wcb, Mario ni brand tosha Tayar keshafika level za kina mond, konde na kiba sijui nani kamroga huyu dogo kwenda kuwa chini ya mtu wakati ni bonge la msanii.
 
Marioo tayari ni msanii mkubwa
Bado foby tatizo hana management.. Anajua sana na ibrahnation
 
Back
Top Bottom