Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

halafu khaled alivyomjanja, kwenye hii album, kipengele cha executive producer kaweka majina ya watoto wake.

hii hata ikitokea leo Mungu kamchukua, watoto wake watatambulika kama wamiliki halali wa album na wataendelea kula royalties(mrabaha) mpaka uzee wao.

Naweza kupata link ya album husika mkuu...?

Natanguliza shukran kwako.

Thanks...!
 
full album inapatikana kwenye app maalum zinazohusika na biashara ya kuuza music content mitandaoni. ingia Spotify utaikuta mkuu.

au unataka link ya kudownload bure malipo?. ingia youtube.

Ooooh Owkay nimekupata kiongozi unamaanisha YouTube ipo mkuu...?
 
Ooooh Owkay nimekupata kiongozi unamaanisha YouTube ipo mkuu...?
mzigo huu hapa upo boomplay.
IMG_20210502_205004.jpg
 
Nas ana jealous tu. Jizzo ni tawi jingine yule. Gheto boy, kama unataka kumwelewa Jizzo sikiliza inteview zake. Very humble. I don't understand why people hate him! Even Queen B mwenyewe ageuzi. Unajua kwasababu gani? Jamaa ni genius kinoma, we sikiliza rylics zake. Kwahiyo Nas hawezi kugeuza kwa J. Na huo ndio ukweli na kila mtu anajua
Nas ana jealous for what? Hizi beef za hip hop, ni biashara tu. Sasa tatizo ni mismanagement ya hizi beef huzaa matatizo kama violence.

By the way, musically jigga na nas ni watu wawili tofauti kifalsafa. Nas ni political emcee, and jigga isn't! So ni ngumu watu hawa kufanana.
 
Mimi naomba kujua kitu kimoja tu kuhusu huu muonekano wa Jay kadri siku zinavoenda na hzo dreads kichwan..

Sio mbaya kwa mtu kuwa nazo ila kwa mtu kama Jay ambaye ni smart sana kwann aliamua kuwa na mtindo huo, je amewahi kuelezea chochote ktk interview zake kwa wanaomfatilia?

Au ni mashart ya chama alichopo kinamtaka awe ivo..

Nakumbuka Oprah aliwah kumsifia sana huyu mwamba kwa usmart alionao,alidatishwa sana na perfume anayoitumia mara walipokumbatiana ktk event flan..ilikua ni miaka ileeee
Ask Kendrick
 
Mzee wa chombeza kwenye nyimbo zake na anauza balaa......jamaa wa ajabu sana kwenye muziki
Unammwagia sifa tu sema huyo dj mwarabu anadandia watu maarufu ili apenye ukitaka kujua je dj khaled ni maarufu mwambie asimame yeye kama yeye uone kama atatoboa
 
Back
Top Bottom