Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

Anonymousafrica:

"Sorry, that's another B
Mwaka 2019 Jay-Z alikuwa msanii wa kwanza kwa mitindo ya kufoka (Hip hop) kuwa billionaire wa kwanza hiyo ilikuwa ni mwezi juni.


Haters still ain't recover from the other B

Msanii huyo wa hip-hop na mfanyabiashara nguli Jay-Z akanunua akapiga tena hatua kubwa kwa kununua hisa 50% kutoka katika kampuni ya LVMH Moët Hennessey kutoka kwa rafiki yake wa karibu anayeitwa (Armand de Brignac).
Inaripotiwa yakuwa chapa(brand) hiyo ilikuwa na thamani zaidi ya dola milioni 300$ za kimarekani.

Mm, that's a double B/Nah that's a triple B
Akiwa muasisi na mwanahisa mwenye hisa nyingi Tidal akauza hisa zake kwa muasisi na muanzilishi wa( Square na Twitter Jack Dorsey ) ambazo zinakadiriwa zilikuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 297$

, can't forget 'bout the other Bey (Hey)" - Jay-Z & Beyonce

Bey
habari yake ulimwengu huu inafahamika mkuu😆😆 kawakumbusha tu yeye ni mtu wa aina gani ila hata Nas hajakaa kinyonge kwenye uwekezaji wake wa cryptocurrency?? Achilia mbali 2013 alikuwa na clothing line yake ya HSTRY sikiliza muziki mzuri ngoma inahamasisha kutafuta mkuu binafsi kwangu mimi 😆
Hivi ninawezaje kusikia kingeli cha hawa watu bila kusoma lyrics asee....😀😀
 
Stephen Chelu:

Ni kuwa na usikivu lkn pia binafsi kusoma vitabu pia kunanipa misamiati mipya achilia mbali nakusoma lyrics zao.

Ukiwa na nia utajua tu,kitu ukikipenda hakikupi shida hata. 😀
Mimi naelewa vizuri wakiwa wanaongea, hata zile nyimbo za kuimba nazipatapata fresh....ila hawa wa kufokafoka kuelewa natumia nguvu sana iasee...yaani bila lyrics sitoboi😂😂😂
 
Executive produced by Asahd, Aalam, Khaled & ALLAH!

Allah being in the studio is another reason why this is the best Album.

Another One!
Kwamba Allah ni Mungu na katika mpangilio wako umemuweka wa mwisho, acha kumuhusisha Mungu wa waislamu na manbo ya hovyo. Huyo Mungu anayebariki huu upuuzi ndio anaitwa Allah?
 
Nina uhakika wewe HipHop umeanza kusikiliza miaka ya 2000's, hata Nas a.k.a Hugambino hujamsikiliza vizuri. Ungekuwa umemsikiliza vizuri usingeleta huu utovu wa nidhamu. Haya wakubwa tumekusamehe....
Huyo dogo hamjui Nas Escobar vizuri tumemsamehe tu .

Huyo Jay Z wake aliwahi omba yaishe baada ya kuwa "ethered" na Bwana nassir Orudala Jones

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom