kutokana na ucheleweshwaji wa mikopo ya elimu ya juu ktk vyuo mbalimbali nchini hatimaye magufuri wamewanyoshea kidole wahusika na kuwataka kushugulikia mara moja ili kuondokana na malalamiko kwa serikali.
udom college ipi? mbona wenzenu humanitia huku tayar
mtapewa tu kabla ya ijumaaa
Aaah wapi mjombaa,,,, kwa ninavowajuaa hawa wadau wahapA siasa nyingi