S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,615
- 32,719
- Thread starter
- #21
Nimekuwa naifuatilia sana tu,marekani walifika kutoa dau dola milioni 15 kwa kapteni wa hiyo meli ili aipeleke sehemu ambayo marekani wataikamata,
baada ya juhudi kushindikana wakaanza kumtisha huyo kapteni kuwa watamwekea vikwazo,
kapteni akaomba kuacha kazi hiyo majuzi,alikuwa mhindi kwasasa meli ina kapten mpya wa iran ,ambae ndo atairudisha meli homeport,
kwasasa tanker lipo mile 2 toka bandari ya Tartus,syria,
vyanzo vya iran vinadai imeshashusha mzigo,
vyanzo vingine vinadai bado haijashusha mzigo kwa hiyo naangalia hizi siku mbili tatu kitaeleweka tu,ila kwa ufupi meli kwasasa iko eneo salama
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.
Nje ya mada kidogo mkuu, hivi Tanzania tuna matenka mangapi kama hili la Iran maana tunasikia mengi kwamba Irani ni masikini sana hadi serikali inakaribia kuhitilafiana na wananchi waliochoka vibaya