Hatimaye lile ludude la Iran laenda Syria kweli licha ya maneno ya khanga ya Washington

Nimekuwa naifuatilia sana tu,marekani walifika kutoa dau dola milioni 15 kwa kapteni wa hiyo meli ili aipeleke sehemu ambayo marekani wataikamata,
baada ya juhudi kushindikana wakaanza kumtisha huyo kapteni kuwa watamwekea vikwazo,
kapteni akaomba kuacha kazi hiyo majuzi,alikuwa mhindi kwasasa meli ina kapten mpya wa iran ,ambae ndo atairudisha meli homeport,

kwasasa tanker lipo mile 2 toka bandari ya Tartus,syria,

vyanzo vya iran vinadai imeshashusha mzigo,

vyanzo vingine vinadai bado haijashusha mzigo kwa hiyo naangalia hizi siku mbili tatu kitaeleweka tu,ila kwa ufupi meli kwasasa iko eneo salama

Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.

Nje ya mada kidogo mkuu, hivi Tanzania tuna matenka mangapi kama hili la Iran maana tunasikia mengi kwamba Irani ni masikini sana hadi serikali inakaribia kuhitilafiana na wananchi waliochoka vibaya
 
Kwa hapa bongo hakuna,kwa iran hata kwa viwango vya dunia ni miongoni mwa nchi zenye matanker mengi,
ila hilo lenye mgogoro wanayaita VLCC Supetanker(Very Large Crude Carrier),
linabeba pipa milioni 2 na ushee,
nchi chache sana zina supertanker,

hili dude haliwezi kupack pale bandarini Tartous au hata Baniyas,juu lina mzigo mzito,

kwahiyo kama kushusha mzigo lazima wafanye Ship to ship transfer kwa Tanker za capacity ya pipa milioni 1,

bahati pale syriakuna Tanker mbili zilikuwa zinashusha mzigo na nyingine iko Port said ,yeyote kati ya hizo itatumika ama imeshatumika kunyonya mafuta toka kwenye supertanker na kuyasogeza kwenye terminal pale bandarini Tartous
 
Yeap,chanzo kingine kinasema ameuziwa bilionea wa syria,Rami makhlouf,ambae pia ni cousin wa presdent Assad,

ila huyu bilionea nilisikia juzi alikamatwa baada ya Russia kudai bilion 3 usd toka kwa syria,wakaambiwa wakachukue kwa huyu bilionea ambae alikataa na kudai hana pesa,

russia wakampelekea Assad document kuonyesha Makhlouf pesa anayo,

Assad akamweka lokapu itakuwa wameshamaliza bifu ,
 
Shukrani, sasa huu wimbo wa umasikini unaoimbwa na mataifa ya magharibi dhidi ya Iran inamaanisha nini?
 
Nimekuwa naifuatilia sana tu,marekani walifika kutoa dau dola milioni 15 kwa kapteni wa hiyo meli ili aipeleke sehemu ambayo marekani wataikamata,
baada ya juhudi kushindikana wakaanza kumtisha huyo kapteni kuwa watamwekea vikwazo,
kapteni akaomba kuacha kazi hiyo majuzi,alikuwa mhindi kwasasa meli ina kapten mpya wa iran ,ambae ndo atairudisha meli homeport,

kwasasa tanker lipo mile 2 toka bandari ya Tartus,syria,

vyanzo vya iran vinadai imeshashusha mzigo,

vyanzo vingine vinadai bado haijashusha mzigo kwa hiyo naangalia hizi siku mbili tatu kitaeleweka tu,ila kwa ufupi meli kwasasa iko eneo salama
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi makini. Hongera pia kwa kufatilia na kuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya kimataifa.
 
Yeap,chanzo kingine kinasema ameuziwa bilionea wa syria,Rami makhlouf,ambae pia ni cousin wa presdent Assad,

ila huyu bilionea nilisikia juzi alikamatwa baada ya Russia kudai bilion 3 usd toka kwa syria,wakaambiwa wakachukue kwa huyu bilionea ambae alikataa na kudai hana pesa,

russia wakampelekea Assad document kuonyesha Makhlouf pesa anayo,

Assad akamweka lokapu itakuwa wameshamaliza bifu ,
Hii mbona imekaa kidiktekta(kibabe) zaidi pesa ni ya rami kisha awekwe ndani hii imekaa kama ya huyu mpiga debe wa dar es salaam na vita yake ya madawa ya kulevya akaweka watu ndani kwa manufaa binafsi..

Ila mie hawa warusi siwamini amini kabisa kabisa.
 
@makaveli10,huyo tajiri ndo financeer wa syria,kwahiyo atakuwa kapewa opportunities za kutosha ikiwemo mambo ya duty free,anamiliki kampuni ya simu Syriatel,mahotel,real estate,
kiufupi inasemwa anamilki uchumi wa syria kwa 60%,

kwa hiyo kwa fursa anazopewa ikiwemo karibu kila mwekezaji anaeingia sharti apitie kwake na apate share fulani,inapofika nchi inakwama sehemu inabidi asaidie,

tofauti na iran ambayo huipa misaada mingi syria bure,Russia wanamuuzia silaha Assad
 
Oky, hapo sasa nimekupata chief.

Ila huyu mrusi kwangu huwa namuamini nusu nusu..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom