Hatimaye leo nimenunua Software, wangapi mnatumia Registered Software mlizonunua wenyewe?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Nimefurahi sana baada ya Purchase kukamilika! Hii ni challenge kwa watanzania wenzangu wanaotumia Pirated Software kuendeshea Legal Office Activities. Nunueni vibali za hizo Tools jamani, ni jasho la watu hizo Software.

Software hii inaitwa Artisteer, ni kwaajili ya ku-automate Web Design & Development ambapo baada ya kutengeneza Website yangu in a "Design View" (and not hustling with Coding), ninaweza ku-export Website hiyo kwenye Platform yoyote kama vile WordPress, Joomla, Magento, WooCormmerce na zote unazozijua. Website inakuwa dynamic, responsive and SEO optimized.

Just awesome!
 
kuna software inaitwa 3ds Max inauzwa $4000 unaweza nunua vitu kama hivyo mkuu? Film Convert Pro inauzwa kati ya $ 199 mpaka $299 kwa uchumi upi wa kuweza nunua hizo software....?
 
Hapa office yangu inazingua toka jana,nahangaika kuutafuta ya free lakini wapi,nikizidiwa ntanunua tu sina jinsi
 
Nimefurahi sana baada ya Purchase kukamilika! Hii ni challenge kwa watanzania wenzangu wanaotumia Pirated Software kuendeshea Legal Office Activities. Nunueni vibali za hizo Tools jamani, ni jasho la watu hizo Software.

Software hii inaitwa Artisteer, ni kwaajili ya ku-automate Web Design & Development ambapo baada ya kutengeneza Website yangu in a "Design View" (and not hustling with Coding), ninaweza ku-export Website hiyo kwenye Platform yoyote kama vile WordPress, Joomla, Magento, WooCormmerce na zote unazozijua. Website inakuwa dynamic, responsive and SEO optimized.

Just awesome!
Mkuu nipe contacts za wauzaji wa hizo software,
Na mimi kuna software naihitaji
 
Kweli kabisa, yani hii ni changamoto sio hapa bongo tuu, ingawa sisi wabogo ndo tunaongoza kutumia cracked software. software designers wanatengeza software then wanaiweka sokoni kama free trials kwa muda flan then user wa trial software wanatakiwa kununua registered software instead wanatafuta cracks za hizo software
 
Back
Top Bottom