Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Waliopambana kukusomesha they must be very proud of you ...
 
Ulisahau kwamba akiba huwa haiozagi, kwa maana kwamba inaweza kuja kukufaa wakati wowote kwa namna yoyote.
 
Oya wadau mleta mada nimuongo msimuamini mpaka alete picha ya vyeti alivochana
 
Mimi siwezi vichoma Moto abadani...sawa havinipi hela..but kuvipata hela nyingi ya wazazi na serekali ilitumika..

Pia na Mimi nikiweka effort kuubwa..So vikae tu...Kwani Kuna shida gani vikikaa kabatini vikapata vumbi..
Angeweza ingia mtaani na bado vyeti vikabaki.Siku akipata challenge kuvihusu,kupindua meza itamtesa Sana.Nadhani Ni chai though.
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Safi sana kwa maamuzi hayo ya busara.
 
Mi vyangu nilichoma 2019 na sijutii mpaka Leo maisha hapa gereji
Ni murua kabisa na vodacom
Ni kosa, vyeti ni muhimu. Leo ni fani ya udaktari na ufamasia vinahitajika vyeti ili kufanya shughuli kama hizo, eg kufungua hospitali au duka la dawa. Mbele ya safari hiyo garage ya chini ya mwembe unaweza ambiwa mpaka uwe na degree ya uhandisi mitambo, machinga au duka awe na degree ya biashara, nk nk.
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Sikiliza na kawimbo ka Kanye west good life😁
 
Aisee sawa kama unahisi ni uamuzi sahihi kwa sasa! Ila usije siku ukavikumbuka baada ya kutokea mchongo wa maana na vyeti ulishavichana. Kwani huwezi kuingia mtaani huku ukiwa umefungia kabatini hivyo vyeti?
Yuko tayari kufundishwa maisha ya mtaani na wamtaani wapo tayari kumpokea. Isije ikafika kipindi akavikumbuka tu na kujutia hiko kitendo anachosema kimemfanya kuwa free sasa!
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Tukutane mitaa ip mzee, lini iyo na saa ngap??
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Kwa kuwa ulienda JKT tunaanza kukuchungulia kama umeasi huko mtaani
 
Back
Top Bottom