Hatimaye Lazaro Nyalandu na wenzake waachiwa kwa dhamana

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Hatimaye Lazaro Nyalandu na wenzake waachiwa kwa dhamana.

Lazaro Nyalandu na wenzake wawili wameachiwa kwa dhamana ya polisi kwa masharti ya wawili wadhaminiwe na wadhamini wawili, Lazaro Nyalandu wadhamini watatu kwa sh. mi 5 kila mmoja. Wanatakiwa kuripoti Polisi Singida mjini kesho asubuhi saa 3.

Mkuu wa TAKUKURU Singida, Joshua Msuya alisema walipata taarifa za uwepo wa viashiria vya rushwa kwenye mikutano ya moja ya Vyama vya Siasa mkoani humo baada ya kufuatilia ndipo walimkuta Lazaro Nyalandu akiwa katika nyumba moja ambayo si ofisi ya CHADEMA akiendesha kikao.

Zaidi, soma;

IMG-20190528-WA0042.jpg
 
Juzi waziri Leo nobody .Angeacha siasa aendelee na yake ajenge business empire etc siasa kwa chadema SI nzuri kwa wenye pesa ndio maana Lowasa kakimbia kaona kukaa na wasio na hela Akina Lisu Ni kujishusha hadhi wakati alizoea kukaa Kati akizungukwa na matajiri ghafla akajikuta Kutwa Mzee kageuzwa ATM ya kutoa hela kusaidia chama akakimbia.Nyalandu na Sumaye wasipojiangalia watafilisikia chadema
 
Suala la dhamana polisi si lilishaamuliwa hili? au halihusiki?
 
Ni kwa tuhuma hizi hizi tulizozisikia na kuzisoma kutoka kwa Takukuru Singida na RPC Singida?

Wakati mwingine ninafikiria kama vyombo vya dola vinafanya makusudi kupaka nchi na serikali matope. Ni hujuma za makusudi au zinafanywa na watu wasiojua madhara yake?
 
Juzi waziri Leo nobody .Angeacha siasa aendelee na yake ajenge business empire etc siasa kwa chadema SI nzuri kwa wenye pesa ndio maana Lowasa kakimbia kaona kukaa na wasio na hela Akina Lisu Ni kujishusha hadhi wakati alizoea kukaa Kati akizungukwa na matajiri ghafla akajikuta Kutwa Mzee kageuzwa ATM ya kutoa hela kusaidia chama akakimbia.Nyalandu na Sumaye wasipojiangalia watafilisikia chadema
Usitake kuwapangia watu
Nini wafanye au waishije

Ova
 
Yaani maCHADEMA huwa ninawashangaaga sanaa

Sasa kama mlikuwa hamjui huyo ni PANDIKIZI au kwa lugha nyingine SPY yupo hapo kuwachora tuu bila nyinyi kujua

Mnakaa mnashupaza shingo huku mnaminyika bila kujijua...., hapo imefanywa hivyo ili ionekane kana kwamba na yeye yupo kwenye timbwili la kuangaika na siasa za upinzani kumbe hamna chochote anawaectia tu.

Ngojeni siku atakapowaaga kama yule mzee na kurudi nyumbani kwa sababu isiyoeleweka ndipo mtayaelewa maneno yangu.
 
Back
Top Bottom