Hatimaye Kenya wametaifisha ngombe 4000 wa Tanzania


A

Abdi Qasim

Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
55
Likes
90
Points
25
A

Abdi Qasim

Member
Joined Oct 23, 2017
55 90 25
Poa tu kila MTU achunge ngombe wake kwenye nchi yake.
Mm naamini Hao wameporwa na mungiki kwa lengonlabkulipa kiasi
Lkn mwisho wa siku kuna anaye hitaji bidhaa said kutoka kwa jirani yake ndiye atakaye athirika
 
makinikia 101

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
493
Likes
864
Points
180
makinikia 101

makinikia 101

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
493 864 180
Siasa za kikanda, siasa za kikabila na utaifa, vitaumiza sana wananchi wa mipakani
 
jaju01

jaju01

Senior Member
Joined
Sep 27, 2016
Messages
131
Likes
201
Points
60
Age
25
jaju01

jaju01

Senior Member
Joined Sep 27, 2016
131 201 60
Duuuh... nahifadhi comment yangu kibindoni..
 
T

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
2,727
Likes
3,168
Points
280
T

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
2,727 3,168 280
Kisasi cha vifaranga.
 
Bob Kawari

Bob Kawari

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Messages
1,195
Likes
1,314
Points
280
Bob Kawari

Bob Kawari

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2015
1,195 1,314 280
Laana ya vifaranga hiyo....
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
13,198
Likes
12,740
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
13,198 12,740 280
Mbona sisi tuliwanyang'anya wao hawakulalamika?malipo ni humuhumu duniani.
Umesikia watanzania tumelalamika? Mimi mmojawapo nimepongeza hatua hiyo ya serikali ya Kenya na kusisitiza kila MTU achunge ngombe wake kwao kwenye nchi yake
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
20,826
Likes
34,301
Points
280
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
20,826 34,301 280
na wao wawachome kama vile vifaranga
 
donbeny

donbeny

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Messages
3,344
Likes
2,182
Points
280
donbeny

donbeny

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2013
3,344 2,182 280
Ufugaji wa kisasa ni wa kuwa na mifugo michache unayoweza kuihudumia na shamba kubwa la malisho na maji ya kutosha
 
Rk10

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
883
Likes
820
Points
180
Rk10

Rk10

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2015
883 820 180
Sirikali ya majuha, ngoja waanze kulipa visasi si tulifikili mazuri??!!!!!
 
N

nyamnini

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
2,636
Likes
1,160
Points
280
N

nyamnini

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
2,636 1,160 280
Nchi zetu zinategemeana kujaribu kuamua mambo kwa kukomoana haitasaidia upande wowote.

Watakaoumia ni wananchi wa nchi zetu na wala sio viongozi.
 

Forum statistics

Threads 1,213,497
Members 462,160
Posts 28,480,073