Hatimaye kamati ya mwambungu yachakachua ukweli mauuaji ya songea... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye kamati ya mwambungu yachakachua ukweli mauuaji ya songea...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Mar 10, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ..Kamati imetoa taarifa leo na kudai kuwa hakuna mahuaji ya kishirikina yaliyokuwa yanafanyika isipokuwa ni uzushi wa watu wachache na hakawataka watu hao waache.Nadhani Taifa linazidi kuzama kwa kuwa na watawala wa namna hii,hivi unahitaji uchunguzi gani kujua watu walikuwa wanauwawa wakati maiti zilikuwa zinaokotwa? Na ndio maana wakadai kulikuwa na mkono wa siasa.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa mtu asiyeishi Tanzania na hajawahi kufuatilia matokeo ya tume mbalimbali zinazoundwa na serikali ndiye alitarajia taarifa tofauti na hiyo waliyoitoa.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Chagonja alishatoa taarifa hata kabla hajaenda Songea! Alisema ni wahuni ndio walioandamana!
   
 4. W

  We know next JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tanzania hatuna Polisi, Jeshi hilo limepoteza weledi kabisa.....kama wanaweza kuchakachua ya waziri na Gavana, sembuse wangoni wa songea na mganda wao??
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua nilipoisikia ile news kwa TBC nkabadili channel faster yaani hakukuwa na mauaji ya watu!
  So that means wananchi walikuwa punguani kulalamika?
  Uyu baba kuna haja awaombe radhi wangoni pls!Kwamba wamezusha vifo ili iweje?
   
 6. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Haki za binadamu wako wapi na wanasemaje, ama nao ni walewale?
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo Mji wote wa Songea wananchi ni waongo? Kweli hii Serikali ya Wahuni itahitajika kuondolewa kwa nguvu zetu za Umma.
   
 8. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha,gupwaboo no!ripoti hii nilitegemea kuchakachuliwa, na halafu kikwete anamteua KIBOGOYO hamna ukweli hapo.
   
Loading...