Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
Hayawi hayawi sasa yamekua! Hatimae Yule mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania, Jacqueline Ntuyabaliwe(K-Lyin)
Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee machache akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo, nae bila hiyana alipoulizwa "Will you marry me" hakusita kusema "I do", Unaambiwa Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa, yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS.... (Mhhh )
Ama kweli mwenye pesa si mwenzako, All in all SHIKAMOO PESA na vijana wa kiume endeleni tu kujituma kuzisaka msikate tamaa.