Hatimaye Serikali imepeleka kikosi cha JWTZ huko Pwani kudhibiti mauaji na kutafuta wauaji.
Kikosi hicho cha JWTZ kina wana jeshi wenye uzoefu mkubwa wa kivita na makomandoo kiasi.
Lengo kuu ni kuleta amani mkoa wa Pwani ktk maeneo hayo ambayo usalama wake umekuwa wa mashaka.
Aiseee!?M23 alikalishwa km mtoto,hao jamaa wa rufiji hata km ni hewa wapatikana tu! Huu uamuzi ulichelewa sana
Hapo wanajeshi hawata add any value hapo police kinachotakiwa ni intelegensia kidogo sana alafu alafu unabadili OC CID na RCO tena kuna ambao najua wakipelekwa pale wanamaliza tatizo kumbukeni Arusha tulikuwa na matatizo kama hayo kipindi cha nyuma ila sasa no historia tunaishii mubashara
Kwani huo usiku JWTZ wao watalala! hapo ndo watatumia ile ya 6 weeks ya bila kulala wakiwa JKT. Mbona wataelewa tu.
Sasa akifa MTU mwengin utakuja kusema jwtz cjui kaz gnNdio maana wajeda wanasema police ni kazi ya kike.
Umeongea point mkuu hasa hasa maeneo jirani kama dar ulinzi uimarishwe....nadhani hawa jamaa walitaka JWTZ waingie rasmi pale kibiti.na kama hili nitakuwa kweli,basi lengo lao litakuwa limetimia.
kwa maana hiyo,tujiandae kushuhudia mauaji ya aina hiyo yakiendekea kutokea sehemu mbalimbali nchini.sio kibiti peke yake.