Hatimaye jk amwita nyerere baba wa taifa

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,513
19,997
kwenye baraza la eid,lakini inaonekana ameandikia kwa sababu anasoma kama risala kwenye karatasi
 
Maandamano! Kikwete ni kijana wa Nyerere hamna cha maana hapo! Amuite asimuite wanajuana wote lao lilikuwa na moja tu CCM
 
Ukiona hivyo maji ya shingo yamemfika anazani mzimu wake utaokoa jahazi
 
Duh yaani watu wanafuatilia hadi vitu vidogodogo kama hivi kweli mtu ukichukiwa shida tupu. Haya niambieni huyo Slaa ametamka mara ngapi neno Baba wa Taifa na ukitamka hilo neno barabara inajijenga au zahanati inajijenga?
 
kuelemewa kubaya

watanzania wengi ni mashabiki wa Nyerere

ukimkubali Nyerere nao watakukubali(hata bila kuangalia lengo lako,anatafuta huruma ya wa-tz hapa)
 
lazima ampe respect, kwa kuwa siku isiyojulikana watakutana uso kwa uso kama yule tajiri na lazaro wa kwenye bible.
 
Back
Top Bottom