Hatimaye Jengo la ghorofa mjini laanza kubomolewa kwa mikono!!

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Jengo la ghorofa lililoamuliwa libomolewe Near the old Ebrahim Haji hospital and the Shia mosque on Indira Gandhi street, close to zam zam stationary hatimaye labomolewa kwa mikono!! unbeliavable!
-PAXP-deijE.gif

12715343_10153204309322100_1502158795732725671_n.jpg
 
Huenda ndiyo njia salama zaidi ya ubomoaji.
 
Kama week moja tu zimebaki ghorofa 5, basi chini ya kiwango cha hilo ghorofa ilikuwa minus 99%. Watatumaliza hao ma engineer njaa na wasimamizi mbuzi..
 
hehehhehe!! sitii neno sababu mimi sio mtaalamu wa haya mavitu...

wajuzi watujuze
 
Huenda ndiyo njia salama zaidi ya ubomoaji.
Jengo la ghorofa lililoamuliwa libomolewe Near the old Ebrahim Haji hospital and the Shia mosque on Indira Gandhi street, close to zam zam stationary hatimaye labomolewa kwa mikono!! unbeliavable!
-PAXP-deijE.gif

12715343_10153204309322100_1502158795732725671_n.jpg

Feels much safer and cheaper, slower though
Watu wengi wakiona jengo linaangushwa kwa zile baruti ndani ya sekunde kadhaa wanafikiri ndio muda wa kubomoa,hawajui inachukua miezi kadhaa kufunga zile baruti jengo zima kitaalamu.

Niliangalia documentary moja njia faster ya kubomoa jengo refu ni kutumia 'tindo'. Kuna tingatinga linamkono una tindo ndio unatumika kubomoa. Baruti ilishika nafasi ya pili na sababu ni muda wanaochukua kufunga wires na baruti,
 
Njia ya rahisi na ya haraka Bomu dakika kadhaa tu jengo lote lingeshashuka chini
 
Back
Top Bottom