Hatimaye JamiiForums yaingia ndani ya East Africa tv ting'a no 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye JamiiForums yaingia ndani ya East Africa tv ting'a no 1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Aug 8, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Kile kinacho onekena kukubarika kwa JF, hatimae media mbalimbali za ndani na nje ya nchi zimekuwa zikitegemea na kutumia habari za mtandao namba moja wa kijamii tanzania JamiiForums.

  Leo katika kipindi cha hot mix kinachorushwa hewani na EATV wameweza kuzungumzia na kuonyesha ile habari iliyopo Jamii Photos ya mwanamke na mwanamme wakiwa wanacheza muziki muda wote bila kupumzika wala kubadilisha style.

  Hii nimeipenda sana. Hongera sana mwanadada Faizaa na Edwin Hilal.

  Mia
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mia mia...braza!
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hongera japo wamechelewa sana kwani JF hata baraza la mawaziri hutumia
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  pamoja sana. Mia
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  pamoko sana asee hata mkulu na mama lwakatare wanaisoma jf kupata miongozo ya mambo mbalimbali
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  JF ni shule kuna watu wanapata nondo apa alafu wanaenda zimwaga full confidence
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  uhhhhhhhhh
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  weka umbea na uwachokoze wakubwa ndo utajua kuwa kila mtu lazima aitembelee jf
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mfano mzuri ni hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani mambo ya nje ezekia wenje juzi kati apa bungeni
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nakapenda hako kadadaaaa hila hayupo Hotmix huyu yupo 5select yupo na Tbway360!!! Au Alikuepo yule dada aliyeimba na Dully Raha ya Tunda(Hot Girls)
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wabunge wanaoikandia wazidi kubaki na viroho vyao vibaya na imani yao kuwa jf habari zao ni potofu,
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hata mdaku maarufu Tanzania anapitia jf
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  figganigga hebu nielekeze hiyo picha inayoonyesha wakicheza bila kukoma ni meifuatilia jamii photo bila kujua heading yake ni ipi
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  nini tena mkuu?
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  alikuwepo yule dada anayeongea kingeleza kwa kigugumizi yaani yeye haongei maneno mawili bila kusema sorry. ananiudhi tu anapo jifanya hajui kiswahili. mi nampa big up faizaaa. mia
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ndo nani huyo mkuu? mia
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  poa ngoja niitafute, nikiipata ntaiweka hapa. mia
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hasa kule Jf tech
   
 19. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa serikali na wabunge wanachota sana busara toka JF without acknowledgement!!
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaaa.....!!!!.mia
   
Loading...