Mi nimeona jina langu kwenye page ambayo jamaa mmoja alikua nayo. Wameonesha kabisa na loan breakdown. Thank you God. Ila sitaacha kutetea wale waliokosa kwani najua hali niliyokua nayo kabla ya habari hizi. Inauma sana kunyimwa mkopo usiombe ikukute.
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.
Kumbe huwa wanatoa kwa kubeep hivi,doh!Maana wale wa due to budget exhaustion sijaona kwenye hii batch ya 2,hope watatoa nyingine soon!hyo ni batch ya pili unaanza kuogopa hvo,huwa kuna batch hadi 20,so ucogope sana about ur mdogo,atapata 2.
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.
Usikate tamaa mkuu,yatatoka mengine soon,ila hata mimi nilijua watayatoa kwanza ya wale waliokosa due to budget exhaustion,kumbe...doh!Dah dogo hayupo tena, kazi ipo