Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,310
12,808
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
 
Tutasiikia mengi mwaka huu!!

Hebu twende kwa staili ile ile ya uwasilishaji wa mada!!!

Kwahiyo serikali ya Mtukufu Rais John Pombe Magufuli imemwacha mwizi aliyekuwa ana-facilitate wizi madini yetu aikimbie nchi?!

Na huyo Kassimu Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa EWURA; taasisi yenye wajibu wa kutoa leseni kwa kampuni ya kifisadi inayolelewa na serikali ya chama cha Mtukufu Rais John Magufuli kwa zaidi ya miaka 20 hivi sasa!!!

Hivi kuna mtu anayeweza kunieleza tofauti iliyopo?! Manake ninachokiona hapa ni x na X lakini zote ni eksi!!!
 
Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will tell.

Serikali hii hamna ukanjanja.
Hivi ktk sakata la mchanga mkosefu ni Lisu au viongozi wa serikali waliogawa madini yetu bure kwa wazungu ??!! Au nia ni nini?!

Lisu amepigania raslimali za nchi hii kwa maisha yake ya usomi, hawa wengine walikuwemo ndani ya baraza la mawaziri waliogawa madini yetu.
 
Back
Top Bottom