Hatimaye ewura yawekwa mfukoni na matajiri wa mafuta

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Ndio chazo cha kutofautiana na Ngeleja
Kupanda tena kwa mafuta tatizo sio dola
Nimatokeo ya 'mazungumzo'ya vigogo
Afisa habari alewa,awakejeli watanzania
Sasa wauza mafuta kupanga bei watakayo
 
Habari za uhakika ambazo zimelifikia (taifa letu),zinasema kwamba lengo la awali la EWURA kutangaza kushusha bei ya mafuta ya dizeli na petroli ,halikulenga kuwasaidia watanzania,bali ilikuwa kitisho kwa wafanya biashara wa nishati hiyo ambao wamevimbiwa na utajiri waende'wakawaone'.
 
tutakapo badili utawala, kamata mafisadi yote na kuvunja taasisi za kinyonyaji kama ewura nk ndipo mambo yatakapo tunyookea watanzania
 
Back
Top Bottom