Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,865
- 38,473
Kuna mikoa unakuta zinakamata redio mbili tu.Hivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
Kuna mikoa unakuta zinakamata redio mbili tu.Hivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
WasukumaHivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
DSTV Wapo Nyuma Sana Kama StarTimes!! Azam kwenye Ving'amuzi wapo Vizuri Sana!! Azam wakiweza Ku activate Capital TV basi watakuwa washamaliza mchezo.Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!
View attachment 1644564
Kwenye hicho king'amuzi huwa nasikiliza 775 tu upande wa Radio!! Reggae strongBaada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!
View attachment 1644564
HahaaaHivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
Not really ila hua inasaidia Kipindi cha uchaguzi kipindi cha BBC kilakua under heavy censorship... online ilikua shughuli sababu ya kukosekana kwa mtandao.. sehemu iliyokua rafiki kusikiliza BBC ilikua ni kwenye Radio yao ya BBC African Languages na hiyo ilikua inapatikana DSTVHivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
Watu wote hawaishi Dar, nyingi ya FM radio zinapatikana mijini tuu, hivyo kupitia king'amuzi watu wa pembezoni wanapata TV channels vizuri na hizo radio za FMHivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
Waweke clouds na East africa chap.watatisha sanaBaada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!
View attachment 1644564
Hata usiiwaze capital tv maana ishakuwa TV mfu. Haina kipindi chochote kuanzia asubuhi Hadi saa 10 jion wanarusha matangazo ya capital radio Yani ni Kama unaskiza capital radio Ila tu unaona watangazaji. Jioni wanarudia vipindi vya ITV Yani hata Sioni Kazi ya ile channel.DSTV Wapo Nyuma Sana Kama StarTimes!! Azam kwenye Ving'amuzi wapo Vizuri Sana!! Azam wakiweza Ku activate Capital TV basi watakuwa washamaliza mchezo.
Azam kwenye Radio zipo kama zote za Tanzania.
Naomba unielekeze namna ya kufika kwenye audio channels. Naenda wapi kwenye menu?Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!
View attachment 1644564
Naomba unielekeze namna ya kufika kwenye audio channels. Naenda wapi kwenye menu?
Nielekezen namna ya kupata radio kwenye DSTV