Hatimaye DSTV waweka Radio za Tanzania kwenye King'amuzi chao

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,924
2,000
Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!

View attachment 1644564
DSTV Wapo Nyuma Sana Kama StarTimes!! Azam kwenye Ving'amuzi wapo Vizuri Sana!! Azam wakiweza Ku activate Capital TV basi watakuwa washamaliza mchezo.

Azam kwenye Radio zipo kama zote za Tanzania.
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
4,409
2,000
Hivi kuna mtu ananunua king'amuzi ili asikilizie redio?
Not really ila hua inasaidia Kipindi cha uchaguzi kipindi cha BBC kilakua under heavy censorship... online ilikua shughuli sababu ya kukosekana kwa mtandao.. sehemu iliyokua rafiki kusikiliza BBC ilikua ni kwenye Radio yao ya BBC African Languages na hiyo ilikua inapatikana DSTV
 
Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
599
1,000
DSTV Wapo Nyuma Sana Kama StarTimes!! Azam kwenye Ving'amuzi wapo Vizuri Sana!! Azam wakiweza Ku activate Capital TV basi watakuwa washamaliza mchezo.

Azam kwenye Radio zipo kama zote za Tanzania.
Hata usiiwaze capital tv maana ishakuwa TV mfu. Haina kipindi chochote kuanzia asubuhi Hadi saa 10 jion wanarusha matangazo ya capital radio Yani ni Kama unaskiza capital radio Ila tu unaona watangazaji. Jioni wanarudia vipindi vya ITV Yani hata Sioni Kazi ya ile channel.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
4,332
2,000
Iv wadau kwa kifurushi cha bombaa je kuna station yoyote ambayo ina onyesha uefa ?
 
earl

Senior Member
Aug 30, 2012
132
250
Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!

View attachment 1644564
Naomba unielekeze namna ya kufika kwenye audio channels. Naenda wapi kwenye menu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom