Hatimaye DSTV waweka Radio za Tanzania kwenye King'amuzi chao

u
Wangeirudisha itv labda ndo ingeonekana jambo la maana,,nani anasikiza redio siku hizi?,hayo mambo yashapitwa na wakti,,hata tv tu sikuhizi ni outdated,,
point iyo kuliko stesheni za redio bora warudishe star tv pamoja n itv mim nampango waku hama dstv kwa sababu iyoo
 
Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!

View attachment 1644564
Waoooo, bado wajinga wale wa Startimes ambao badala kutuwekea Radio stations za Tanzania au Kenya wao wamejaza maSTINGRAY RADIOS ukiwapigia kuwauliza why these Brad full radios ati vinajwambia sisi tunasikiliza ??? Yaani decoder ninunue kwa hela yangu halafu redio hata moja ya kwetu hamna leo mnaniambia . Basi jamani
 
Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye DSTV wameamua kuweka Radio za Tanzania kwenye king'amuzi chao ambapo kwasasa wameanza na Magic FM namba 895, Radio One namba 895 na Wasafi FM namba 1025 kama zinavyoonekana pichani!

View attachment 1644564
....Mkuu, Kilio cha Muda mrefu hakikuwa cha Radio za Tanzania kusikika DSTV Bali ni kwa Vituo vya Runinga vya Tanzania kuendelea kuonekana Pale Kifurushi cha DSTV kinapokata!
 
Siku wakipata rights za kuonyesha FTA ..Local tvs..ITV East africa tv, Capital Tv ,Startv na channel 10 ..itakua pouwa sana
 
Back
Top Bottom