Hatimaye Dstv washusha vifurushi sasa ni Tsh 9,000 DSTV Poa

Dstv kifurushi kikiisha unabaki na TBC1 na channel za kipuuzi za kichina kama mbili hivi. Radio hupati hata moja. Na mbaya zaidi DSTV hata ulipie kifurushi cha PREMIUM kuna RADIO huwezi zipata.
Mm dishi lao ninalo kama pambo tuu.
Wanazidiwa na azam ambayo kifurushi kikiisha local channels unapata kama zoote na radio ni ujazo wako.
 
Kumekucha Dstv naona wameshusha vifurushi sasa ni 9000 tu kwa mwezi

Kifurushi hicho kinajulikana kama dstv poa kikiwa na channel zaidi ya 40

Wakati huo huo Azam wana cha 8000 channel zaidi ya 50

My take: Mwisho wa Startimes unakuja hakika wenzao wanashusha wao wanakimbilia hadi kifurushi cha chini 22000 huko.....
Wanataka mjae halafu utasikilizia inavyopanda utaenda kutegesha mfuniko wa feni na tubelight
 
Warudishe local channels aliyekataza alishakufa
Nani alikwambia kuwa meko ndiye aliyekataza?maendeleo ndio yamefanya iwe hivyo, na sio rahisi, kwani , startimes,na azam, ndio wataenda mahakamani kushitaki.
 
Dstv kwa rangi hakuna wa kushindana nae ukiondoa vipindi vya michezo vingine vingi ni ujanja ujanja sio kwa bei hizo wanazochaji ni ghari kwa Channel za kawaida tuu...
 
Kumekucha Dstv naona wameshusha vifurushi sasa ni 9000 tu kwa mwezi

Kifurushi hicho kinajulikana kama dstv poa kikiwa na channel zaidi ya 40

Wakati huo huo Azam wana cha 8000 channel zaidi ya 50

My take: Mwisho wa Startimes unakuja hakika wenzao wanashusha wao wanakimbilia hadi kifurushi cha chini 22000 huko.....
Mkuu acha promo unaposema vifurushi vilivyoshushwa bei sema vifurushi vilivyopandishwa bei huo ndio uandishi linganifu.
 
Back
Top Bottom