Hatimaye Desmond Tutu ahudhuria mazishi ya Marehemu Baba wa Afrika Nelson Mandela

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,389
2,000
Ndugu wana JF,

Hapo taarifa za awali ilisemekana kwamba Desmond Tutu hatahudhuria mazishi ya Mandela kwa sababu hajaalikwa na serikali ya chama cha ANC.

Source: Desmond Tutu not attending Mandela funeral - Africa - Al Jazeera English

Katika hali ya kustaajabisha na ya kuvutia Desmond Tutu alionekana maeneo ya Qunu ambako mwili wa Baba wa Afrika Hayati mzee Nelson Mandela amezikwa. Ingekuwa vibaya sana kama Desmond Tutu asingehudhuria mazishi ya rafiki yake wa karibu Mandela.

Sources: Desmond Tutu says he will attend Mandela funeral

Desmond Tutu will attend Nelson Mandela's funeral in Qunu | World news | theguardian.com

Desmond Tutu WILL be going to Nelson Mandela's funeral after all | Mail Online
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom