ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Klabu ya soka ya nchi uingereza New castle united inayonolewa na gwiji la ukocha dunia Rafael Benitez, jana wamefanikiwa kurejea EPL kwa kishindo baada ya kumpiga Preston bao 4 kwa 1
ukimbukwe New castle ilishuka daraja msimu uliopita huku kocha Benitez akiishangaza dunia kwa kuing'ang'ania club hiyo na kushuka nayo daraja
wachambuzi wengi wa soka walisema Benitez kapotea kwa kwenda kufundisha ligi daraja la kwanza kwani kwa wakati ule alikuwa amepitia vilabu vikibwa dunia kama liverpool, Inter milan, Real madrid na Chelsea!
Huu ni ushindi mkubwa kwa Kocha Benitez, hii inafananishwa na ushindi wake mkubwa wa kuiwezesha liverpool kushinda taji la Eufa 2005
Karibu tena New castle united, karibu tena Rafa Benitez