Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,568
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA
Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU
POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM
[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]
Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU
POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM
[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]