Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Yaani Kuishi Kwangu sijawai kuona watu wasijielewa kama Wafuasi Wa CHADEMA kama humu Jamii Forums. Hawa Jamaa

1. Ni wanafki
2.Mazumbukuku ya siasa
3.Hawajitambui
4.Hawana msimamoo
5. Hopeless human Beingi
6.Wavivu Wa kufikiri
7JITAMBUENI KWANA NDIO MUISOME SIASA HATA KWA HISTORIA

Naangalia Comment Zenuu hapa Mpka nasikia Aibu kuwa na Vijana Wa aina hii..MTAKUWA LINI MTAIELEWA SIASA LINI MTATUMIKA MPKA LINI🤣😂🤣😂🤣😂🤣 Dah

Leo Mnahitaji Serikali ya Maridhano Jana mlitaka wafadhili Wasitishe misaada na Mikopo Mtaacha lini Upumbavu nyie Wafuasi Wa CHADEMA

NAWASUBILIA KESHO MTAJIFARIJI VIP TENA NYIYI MSIJE HATA CCM NENDENI CUF HUKU NA ACT NDIO AINA YA VYAMA WA WATU WAPUUZI PUZII
Acha wivu waache wenzio washiriki kujenga nchi yao bhana
 
Umegeuka mpiga ramli baada ya kutoamini kilichotokea,njaa inawasumbua wafuasi wa CHADEMA, acha ramli zako mawaziri toka CHADEMA
 
Yaani Kuishi Kwangu sijawai kuona watu wasijielewa kama Wafuasi Wa CHADEMA kama humu Jamii Forums. Hawa Jamaa

1. Ni wanafki
2.Mazumbukuku ya siasa
3.Hawajitambui
4.Hawana msimamoo
5. Hopeless human Beingi
6.Wavivu Wa kufikiri
7JITAMBUENI KWANA NDIO MUISOME SIASA HATA KWA HISTORIA

Naangalia Comment Zenuu hapa Mpka nasikia Aibu kuwa na Vijana Wa aina hii..MTAKUWA LINI MTAIELEWA SIASA LINI MTATUMIKA MPKA LINI🤣😂🤣😂🤣😂🤣 Dah

Leo Mnahitaji Serikali ya Maridhano Jana mlitaka wafadhili Wasitishe misaada na Mikopo Mtaacha lini Upumbavu nyie Wafuasi Wa CHADEMA

NAWASUBILIA KESHO MTAJIFARIJI VIP TENA NYIYI MSIJE HATA CCM NENDENI CUF HUKU NA ACT NDIO AINA YA VYAMA WA WATU WAPUUZI PUZII

Kupinga juhudi za rais John Pombe Magufuli Ulikua unafiki tuu 😂😂😂
 
Acha upumbavu wako wewe ndiyo hujielewi sisi chadema hatupendi unafiki wanachadema wakila pesa za CCM tunaongea ukweli, huu upumbavu wa kufanya siasa biashara ndiyo umemfanya Lisu kuondoka mapema kwenda huko maana anamjua mwenyekiti wa chadema ni mpenda pesa mbele ya pesa anaweza kufanya lolote ili mradi alinde ruzuku yake
IVI LISSU HAKUMWITA LOWASSA FISADI??? IVI LOWASA ALIPOKUJA CHADEMA NI NANI WALIKUA HELA ZAKE UNAMTOAJE LISSU IVI KICHWA CHAKO KINAKUMBUKUMBU VIZURI

WAFUASI NA VIONGOZI HAMNA MSIMAMO

UNAMWITAJI MTU FISADI ANAKUJA KUJIUNGA NA CHAMA CHAKO HALAFU UNAMPIGIA KAMPENI🤣😂🤣😂🤣😂

NIAMBIE LISU NA DR SLAAH NANI ANAENDA HELAA 🤣😂🤣😂🤣

Ndio maana nasema hamjitambui na wavivu Wa kufikiria
 
Huu ni mkakati wa CHADEMA tena subirieni kivumbi chao hao wakina mdee na bulaya patachimbika
 
Ni uamuzi wa busara sana. Kuzira au kususia isingesaidia kitu. Wingi si hoja ! Kumbuka mwaka 2008 wakati Lowassa anapigwa chini, Chadema ilikuwa na wabunge 11 tu! Isitoshe wabunge wengi wa CCM vilaza!!!
 
Hamkosi ya kusema mwenyekiti ni mtanzania na anajua fika Tanzania kwanza, nyinyi wafuasi msiojitambua mtaendelea kupiga ramli wajinga nyie.Sasa mjinyonge Uchaguzi umekwishaaaaaaaaa
Wewe ndiyo mpumbavu wa mwisho hujitambui kwa lolote ungekuwa siyo mnafiki ungesema ukweli kuwa mbowe kala Rushwa lakini kwa kuwa ni mpumbavu fulani unakuja na porojo zako za kijinga
 
Kupinga juhudi za rais John Pombe Magufuli Ulikua unafiki tuu 😂😂😂
Yaani Hawa Vijana hawakuwa na mchango chanya hata siku moja kwa chama chao. Wanafikiki unafuatilia chama kama isidingo hahaha
 
Mnyika naye amekubaliana na huu upuuzi?? kuanzia sasa sitaki tena kusikia au kujishugulisha na siasa, kumbe naweza uwawa bure nikawaacha ma binti zangu wadogo yatima huku wanasiasa wanagawana madaraka juu ya maiti yangu,...... maza - fakaa all politicians
 
Huyu ni mwanamke wa shoka, kakataa ujinga!
P
Siyo yeye kakataa ujinga, huu ni upotoshaji; hakujileta mwenyewe ni chama kimewaleta. Afterall hapakuwepo na ujinga wowote, maana uchaguzi umeonekana ulivyofanyika na yote yaliyotokea - walikuwa na haki ya kutoridhika na huo si ujinga.

Sasa wameona wawapoze kidogo wale walikuwa wanawashabikia ili nao waone kuwa wamepata angalau watu wa kuwasemea hata kama ni wachache, Ni hatari kama kundi hilo lingekosa wa kulisemea likabaki na donge rohoni
 
Haya Haya Chadema kama ni mpira dk 90 ziliisha mkiwa mshabamizwa 6 - 0.

Refa katoa dk 5 za nyongeza haya tumieni hizi dk 5 atleast kupunguza idadi ya hizo goli 6 - 0 najua kusawazisha hamuwezi ila kupunguza mnaweza,wapeni moyo

mashabiki zenu kuwa timu yenu haikua mbovu bado wakiwaamini mnaweza wainua juu.

lakini kama mkizembea na kuchezea hizi dk 5 za nyongeza mkatandikwa goli tena mkae mkijua

ndio mwisho na hakutokua na mwisho mwingine ila huu utakua mwisho wa mwisho wa Team (chama) chenu.
 
Hawa ndio wanashawishi watu waandamane wakishauliwa, wengine wanapata vilema wao wanakaa mezani na serikali wanapeana cheo
Vijana wajifunze kuwa kabla ya kuanza kuunga harakati za kundi la watu flani, uwe umejiridhisha kabisa kuwa zinahusu nini. Unaweza kuwa unapigana unaumia ukidhani mnapigania hiki kumbe wenzako wanapigani kula kwao.
 
Kidogo tuu wametepeta? Kwa kweli inatia hasira, tena wamuombe radhi yule mbunge wao dada wa Nkasi waliokuwa wanamkataza kuapishwa. Tena ina maana wamem snitch hata Lissu aliye utangazia ulimwengu kuwa katu CDM hatutashiriki kwenye shughuli za Bunge na walla hatuitambui serikali iliyoingia madarakani kimizengwe?
Hiyo ilikuwa mihemko ya siasa baba. Mambo yanabadilika haraka
 
Back
Top Bottom