Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,900
- 4,860
Haijawahi tokea mgombea wa ccm kukacha kwenda kusini kuomba kura why this time kampeni manager anapwaya
Kule ataenda kuzomewa tu, intelijensia imemstua.
Haijawahi tokea mgombea wa ccm kukacha kwenda kusini kuomba kura why this time kampeni manager anapwaya
Hatari, Lugola anaamua kutoa ma.t.k kabisa kwa wanaume wenzie!!!!!
Na hao tayari washafanya yao na sasa ni vilio tu
Amesalimu amri hata kampeni hatokwendaKufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Hivi hii tabia ya kubeza maelfu ya wananchi wenzenu na kujiaminisha ushindi kwa goli la mkono inawasaidiaje kuendelea kuwa madarakani?? Malawi yaja...Hii saccos ndio ishinde Mtwara na Lindi?. Punguani wakubwa, subirini kunyolewa bila maji.
Ccm ilishafeli kitambo sanaKufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Anaogopa kitayaAmesalimu amri hata kampeni hatokwenda
Inategemea police waliozulumiwa nyongeza za mishaharaCcm ilishafeli kitambo sana
CCM kimeshakufa mikoa yote ya kusini.Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.
Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.
Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.
Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Ngoja nikutoe tongotongo mshamba wewe, Chama Cha Mapinduzi, kina wanachama hai milioni 17, achilia mbali mikakati ikiyopo kwa ajili ya kutafuta kura nyingine nyingi zaidi. Kwa hesabu ya kawaida tu chukua jumla ya wapiga kura wote ambao ni milioni 29,188,347 toa na hiyo nilioni 17Jibu utakalilopata utakuwa , unmejifunza.Nauliza tu. Kuna watu wanasema chama fulani kina sera nzuri na vyama vingine havina sera.
Nauliza katika wapiga kura milioni 29 ni wangapi watapiga kura kwa kuzingatia sera walizozisoma au kuzisikia nakuelewa?
Maana hata misahafu ipo na waumini wapo lakini watu wanaiishi hiyo misahafu?
Huenda sio kila mwenye miaka 18 au zaidi anasifa ya kupiga kura
Wengine huridhika tu kwa kusikia maneno yanayorejelewa mara nyingi kupitia nyimbo , mabango na hotuba.
Wengine ile tu kuona misafara ya magari, marangirangi na ngoma kidogo inatosha kuwavuta.
Ndio maana hata NEC walistuka mgombea mmoja alipotaka kulisha watu kwa ubwabwa.
Ndivyo tulivyo.
Hatari, Lugola anaamua kutoa ma.t.k kabisa kwa wanaume wenzie!!!!!
Taahira tu weweHii saccos ndio ishinde Mtwara na Lindi?. Punguani wakubwa, subirini kunyolewa bila maji.