Elections 2010 Hatimaye CCM wasalimu amri Ubungo

watarime

Senior Member
Oct 21, 2010
105
8
Waha JF kwa habari za uhakika nilizo nazo toka Royola Mh Munyika ametangazwa rasmi kuwa mbuge wa jimbo la Ubungo kwa kura 56000 dhidi ya mpinzani wa CCM aliyepata kura 50,000.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Wamebana hatimae wameachia jamani aliye na habari za Kawe na Segerea tafadhali rusha hapa jamvini!
 
ehn, afadhali sasa tulale kwa raha na maushindi yetu! sina shaka na Kawe hata sisiem wanakubali Mdee ni Bingwa..:yield:
 
Thanx to God!!!!!!!! Finally tumepata Mbunge jimbo la Ubungo. Tuna mateso makubwa wana kimara suka golani, Mnyika katutee, tunaamini soon tutakuwa na daraja na tutaepuka adha ya kusombwa na maji wakati wa mvua. Walikuwa wanatu-treat kama wanyama lakini tunaamini kwa kushirikiana nasi wananchi wa jimbo lako ukombozi utapatikana. HONGERAAAAAAA!!!!!
 
Back
Top Bottom