Hatimaye BOEING wakubali kupunguza bei ya ndege ya Trump

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
614
500
Kampuni ya ndege ya Boeing itatengeneza ndege ya Rais (Airforce One) Kwa bei ya chini ya Dola Bilioni 4, mkurugenzi wa kampuni ndege ya Boeing aliwaambia waandishi Siku ya Jumatano.

Bwana Murlenburg ambaye ni mkurugenzi wa Boeing, alimsifu Trump Kwa kikao kilichokuwa na mafanikio makubwa ambapo walijadili njisi kampuni inavyoweza kutengeneza ndege 2 Kwa bei chini ya Dola Bilioni 4.

"Tunaenda kuipata Kwa bei chini ya hapo" aliongea mkurugenzi Boeing ndugu Murlenburg alisema niliweza kumueleza RAIS wajibu Wangu Kwa niaba ya Kampuni ya Boeing.

Punguzo hili limekuja baada ya Trump kutuma meseji katika Mtandao wa Twitter kutishia kufuta order ya ndege hizo baada ya bei kuonekana kubwa.
Baada kikao Trump alisikika akiwaeleza waandishi "Kuna watu wazuri sana" kikao kilihusu kupunguza gharama ambayo ilikuwa ghali sana.

Boeing CEO says he'll build Air Force Ones for less than $4 billion after Trump meeting
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
7,257
2,000
Cash is cheap ukilimpa nusunusu ni gharama.Hela yako haipo stable Inayumbayumba
ukinunua ndege gharama za mwanzo unalipa hizo nyingine zinajilipa zenyewe wakati ndege ikiendelea kufanya kazi moja ya sababu ya pesa kuyumbayumba ni matumizi makubwa kuliko unachozalisha
 
Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
5,059
2,000
Kampuni ya ndege ya Boeing itatengeneza ndege ya Rais (Airforce One) Kwa bei ya chini ya Dola Bilioni 4, mkurugenzi wa kampuni ndege ya Boeing aliwaambia waandishi Siku ya Jumatano.

Bwana Murlenburg ambaye ni mkurugenzi wa Boeing, alimsifu Trump Kwa kikao kilichokuwa na mafanikio makubwa ambapo walijadili njisi kampuni inavyoweza kutengeneza ndege 2 Kwa bei chini ya Dola Bilioni 4.

"Tunaenda kuipata Kwa bei chini ya hapo" aliongea mkurugenzi Boeing ndugu Murlenburg alisema niliweza kumueleza RAIS wajibu Wangu Kwa niaba ya Kampuni ya Boeing.

Punguzo hili limekuja baada ya Trump kutuma meseji katika Mtandao wa Twitter kutishia kufuta order ya ndege hizo baada ya bei kuonekana kubwa.
Baada kikao Trump alisikika akiwaeleza waandishi "Kuna watu wazuri sana" kikao kilihusu kupunguza gharama ambayo ilikuwa ghali sana.

Boeing CEO says he'll build Air Force Ones for less than $4 billion after Trump meeting
10billions kujenga udsm haina tofauti
 
Al gator

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,030
1,500
Pia mtukufu nae ajifunze negotiations sio ubabe tu mda wote.Trump nje anaonekana chiz ila kwenye majadiliano na wafanyabiashara na investors yupo vyema.
Mtukufu yeye anajisifia kulipa cash hajui kua ku- bargain na ku-negotiate ndio mpango. Biasharan haifanywi kwa sifa wala ubabe.
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,300
2,000
Trump

Kawasababisha Boeing wapunguze bei
Kawambia Boeing watengeneze mbadala wa F35 kwa bei rahisi

Kwakwamisha kura ya kuzuia uendelezaji wa ujenzi Israel
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom