Atimaye AZAM TV wameanza kuziachia free baadhi ya local channel kwa mfano;
1. AZAM UTV
3. TBC na
3. SAFARI TANZANIA.
na Sasa wameachia
4. CHANEL TEN.
Ahsante serikali pamoja na kampuni Ya AZAM TV tunatumai siku zijazo mtatuachia free ITV EATV na STARTV
Habari za kina unazopenda washauri watu wafungue vituo hivyo ili upate unachotaka bro.Vyombo vya habari vya Tanzania ni utumbo mtupu. Hawana habari za kina na vipindi vilivyoshiba km TV za kenya. Unakuta wanachambua mambo nyeti juu juu utazani wanakimbizwa. TV za kenya hadi raha aisee,kwanza wanaalika watu wabobezi na mada husika inachambuliwa takribani masaa 3. bongo wanajadili vitu viiiingi aafu kwa wakati mmoja. Azam walianza vzr lakn nao mfumo umewabeba
Dish kubwa kwa cband au Ku band? Unauhakika na hilo?Inasemekana siyo local Ila ukiwa na dish kubwa pale nyuzi 46 ipo
hizo zote ulizozitaja ni za ccm
Kwani hamjui kwamba hiyo channel ni ya serikali?
Channel 10 haina tofauti na TBC mkuu , zote za Lumumba
Wakiachia ITV, EATV nishtue
Kivip? Ni mitandao ya cm?Mbona zote hizo ulizotaja ni sawa na Vodacom tu?
Kivip? Ni mitandao ya cm?
STAR TV = CCMTBC =CCM
SAFARI Tanzania =CCM
Chanel ten =CCM
TCRA kwa nini Itv, Clouds tv, ETV na Star Tv hazijarudishwa.
Na Azam Kama mnamajibu mtujibu haraka kama hakuna sababu za kisiasa.
Sawa, ni mtazamo wako ndio maana kuna Chanel nyingi chagua uwezavyoSio, ila fuatilia vipindi vyao utajua pumba na mchele ni upi.
Vipi ni chadema au cuf tuvijue naona unaanza kuvibatiza utakavyoSTAR TV = CCM
Clouds TV =CCM
Labda ETV & ITV
Zote hazina maana kama ITVAtimaye AZAM TV wameanza kuziachia free baadhi ya local channel kwa mfano;
1. AZAM UTV
3. TBC na
3. SAFARI TANZANIA.
na Sasa wameachia
4. CHANEL TEN.
Ahsante serikali pamoja na kampuni Ya AZAM TV tunatumai siku zijazo mtatuachia free ITV EATV na STARTV
Ipo channel 111 dishChannel ten wameachia lini...
Ni kweli nimeona na Chanel ten IPO hewani,Japo habari zake ni za KICCMa ila ndio hivyo
Sasa ulitaka kweli channel 10 ionyeshe habari za CUF na CDM wakati ni TV ya CCM??