Hatimaye Azam TV waanza kurejesha local channels free

Vip ukilipia local chanel zote zipo?
Atimaye AZAM TV wameanza kuziachia free baadhi ya local channel kwa mfano;

1. AZAM UTV

3. TBC na

3. SAFARI TANZANIA.

na Sasa wameachia

4. CHANEL TEN.

Ahsante serikali pamoja na kampuni Ya AZAM TV tunatumai siku zijazo mtatuachia free ITV EATV na STARTV
 
Vyombo vya habari vya Tanzania ni utumbo mtupu. Hawana habari za kina na vipindi vilivyoshiba km TV za kenya. Unakuta wanachambua mambo nyeti juu juu utazani wanakimbizwa. TV za kenya hadi raha aisee,kwanza wanaalika watu wabobezi na mada husika inachambuliwa takribani masaa 3. bongo wanajadili vitu viiiingi aafu kwa wakati mmoja. Azam walianza vzr lakn nao mfumo umewabeba
Habari za kina unazopenda washauri watu wafungue vituo hivyo ili upate unachotaka bro.
 
Atimaye AZAM TV wameanza kuziachia free baadhi ya local channel kwa mfano;

1. AZAM UTV

3. TBC na

3. SAFARI TANZANIA.

na Sasa wameachia

4. CHANEL TEN.

Ahsante serikali pamoja na kampuni Ya AZAM TV tunatumai siku zijazo mtatuachia free ITV EATV na STARTV
Zote hazina maana kama ITV
 
Back
Top Bottom