Hatimaye Alphonce Lusako ahitimu, ni baada ya miaka 12

Pascal Mayala ,ilimchukua miaka 15 kumaliza degree ya law Udism .Bora huyu.
2006 Nimeishi na pascal mayalla mabibo hostel block F Na lipikipiki lake kubwa ,ghafla nasikia amedisco,sina shaka na uwezo wake ila alifanyiwa figisu cha kushangaza hajawahi kukemea wala kulaani figisu zinazoharibu maisha,now angekuwa judge lakini ndio haiwezekani maana amebakisha miaka michache ya umri wa kustaafu na hana experience ya miaka kumi,
 
😂 😂 😂 😂
 
Pascal Mayala ,ilimchukua miaka 15 kumaliza degree ya law Udism .Bora huyu.

David silinde kipenz cha chadema na sasa hivi kipenz cha magufuli... digrii yake kamaliza kwa kash kash sana udsm.. na chadema ya dr slaa ilivyokuwa makini baada ya kumaliza masomo tu july 2010 ikamdhamini october 2010 kugombea ubunge mbozi kabla ya graduation... ajira yake ya kwanza bungeni u.. waliomfukuza fukuza udsm waliona aibu sana msumbufu wao kufanikiwa mapemaa sana
 
Back
Top Bottom