Hatimaye aliyeniibia pesa zangu amechomwa moto

nidanganye ili nipate nin mzee. Sikua na wazo la kuibiwa siku hiyo hiyo pesa ilikua nikaiweke bank kesho yake asubuhi. Wazee wakapita nayo. Jamaa amechomwa moto kibamba tu hapo. Lakin ni mkazi wa kibaha maili moja. Kwa wenyeji wa maeneo hayo watakua wamelisikia hilo tukio.
Unamaanisha Kibanda Cha mkaa sio
 
Mkuu Kama ulikuwa unamuogopa marehemu kumdai akurudishie hela yako enzi akiwa hai basi ungeenda msibani kuhudhuria msibani ndugu wa marehemu kupitia sheikh utoa wasaa wa mtu yoyote anayemdai marehemu kujitokeza aweze kulipwa kabla marehemu ajapelekwa makaburini pengine ungepata hata nusu ya fedha yako.
 
Sehemu za kuweka pesa
1)Kwenye kifuniko cha Hanger ya nguo unafunua weka na kufunga
2)mchagoni usawa unaolala
3)kwenye picha za ukutani
4)tambara la deki chini
duh!!..hiyo ni kizamani sana.

kwa nyakati hizi, sehemu salama kwangu ni mifumo ya kidijitali ya kutuma na kupokea pesa. hapa nazungumzia tigopesa,mpesa, airtel money nk.

kama simu yako ipo well secured, hata kama kibaka akaiba, sio rahisi kwake kujua password yako ya tigopesa, mpesa au airtel money.

labda abahatishe tu au awe anashirikiana na watu wa ndani wa kampuni husika ya huduma za simu. na wanaofanya hivi sio vibaka wa mtaani, ni wahalifu wakubwa wenye wanamtandao mpana wa wezi.
 
Mada inahusu CASH uliyonayo GETO
 
Mkuu Kama ulikuwa unamuogopa marehemu kumdai akurudishie hela yako enzi akiwa hai basi ungeenda msibani kuhudhuria msibani ndugu wa marehemu kupitia sheikh utoa wasaa wa mtu yoyote anayemdai marehemu kujitokeza aweze kulipwa pengine ungepata hata nusu ya fedha yako.
Mim nilishaipotezea hiyo pesa. Amewaibia wengi na kuwaumiza wengi. Pamoja na yeye kujua kwamba nimejua kua yeye na mwenzie wameniibia. hakuwai kuja hata kuomba msamaha. Wahuni sio watu ndugu.
 
Hakuna kitu kinauma kama kuibiwa pesa. yaani mtu unajinyima, unajitesa kuwekeza pesa zako alafu mtu anakuja kuzichukua kirahisi tena anaenda kunywea pombe na kuwapa malaya.

Hawa wahuni walikua wawili waliniotea usiku nimelala fofo (usingizi wa mlevi) wakaniibia laki tisa na elfu thelathini. Kupitia dirishani pesa zilikua kwenye mfuko wa suruali ambayo niliivaa siku hiyo Na suruali yenyewe waliondoka nayo. Hiyo ilikua ni mwaka jana.

Kwa kuwa wahuni wote wa mtaani nawajua tena wengine nilisoma nao nikaona hapa nikienda polisi ni kujisumbua tu. Nikafanya upelelezi mwenyewe mpaka nikawagundua wezi wangu.

Ni madogo wahuni walioshindikana mpaka kwa wazazi wao na mpaka jela washakaa na mda huo pesa yenyewe yote walikua washaimaliza.

Nikaamua kuwapotezea tu lakini niliwalaani sana kwa sababu walinirudisha nyuma sana. Week mbili zilizopita mmoja kati ya wale wa wawili amekufa kifo kibaya sana.

Alichomwa moto na madereva boda boda baada ya kuiba piki piki ya mwenzao. Bado huyu mwingine nae siku zake zinahesabika.

Wezi,Vibaka na Majambazi dawa yao ni kifo tu.
 
Uwekaji pesa kwenye simu na bank inapunguza sana matukio ya kuibiwa. Lakini kuna mashindano ya kupandisha gharama za kutoa fedha bank na kwenye mitandao ya simu. Ni muda watu watarudi kutembea na mabunda ya manoti na kuweka hela kwenye vibubu.
 
nidanganye ili nipate nin mzee. Sikua na wazo la kuibiwa siku hiyo hiyo pesa ilikua nikaiweke bank kesho yake asubuhi. Wazee wakapita nayo. Jamaa amechomwa moto kibamba tu hapo. Lakin ni mkazi wa kibaha maili moja. Kwa wenyeji wa maeneo hayo watakua wamelisikia hilo tukio.
Sio wale waliochomwa kwa mathias pale?au wamechomwa kibamba ipi?
 
Kuna watu fulani walifanya njama wakaiba gari ya msukuma mmoja, walikufa wote vifo vibaya sana. Kuna watu kuroga wanajua
watu wanakusomea albadili tu unakufa. Mtu hujui katumia njia gan au kapambana vip kupata mali yake wew unaenda kuiba.
 
Back
Top Bottom