Hatimaye aliyekuwa kigogo TRA Arusha asalimu amri,aripoti kazini

Huyu dada amenyanyasika sana..kwanini mnamfuata fuata hivi....huu sio utumishi bali ni upumbavu ....kukomoana sio sawa....angekuwa mtu wangu wa karibu....ningemshauri aachane na hiki kibarua

Then utampeleka chooni wewe?
 
Asilimia kubwa ya watumishi wa taasisi zifuatazo watafurahi sana endapo watasikia mzee magu kanyoosha goti kwani amekuwa mwiba mchungu sana. TRA, maliasili yote, BANDARI, MADINI, MAMBO YA NJE, ongeza nyingine list itimie
 
Then utampeleka chooni wewe?
Mh Raisi ameshasema hataki kuongoza watu wanaohuzunika muda wote; kama wewe uko jikoni mfute huyo machozi kwa kutambua mchango wake kwenye kukusanya kodi. Amejijengea maadui wengi sana wakati wa kutimiza wajibu wake; kilichofanyika mmewapa furaha isiyostahili maadui wake (waliokuwa hawapendi kulipa kodi)
 
Asilimia kubwa ya watumishi wa taasisi zifuatazo watafurahi sana endapo watasikia mzee magu kanyoosha goti kwani amekuwa mwiba mchungu sana. TRA, maliasili yote, BANDARI, MADINI, MAMBO YA NJE, ongeza nyingine list itimie
Ili waendelee kuiba
Kuna jamaa mmja namjua nlikuwa nalewa naye
Alikuwa upande wa inspection kwa siku alikuwa akikosa Hela ni 300,000/

Ova
 
Back
Top Bottom