Hatimaye aliyekuwa kigogo TRA Arusha asalimu amri,aripoti kazini

buswelu moja

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
226
147
HATIMAYE ALIYEKUWA KIGOGO TRA ARUSHA ASALIMU AMRI,ARIPOTI KAZINI CHAPCHAP

MWANDISHI WETU,ARUSHA

HATIMAYE aliyekuwa meneja msaidizi wa mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha upande wa madeni ,Irene Hance amekubali yaishe na kuamua kuripoti kazini alikopangiwa wilayani Kahama na kisha kutambulishwa rasmi juzi.

Uamuzi huo unakuja zikiwa ni takribani wiki mbili zilizopita baada ya taarifa kudai kwamba kigogo huyo amekataa uhamisho kwenda wilayani Kahama ambako kituo chake kipya cha kazi kwa sababu ambazo hazijulikani.

Irene ni miongoni mwa vigogo 34 wa mamlaka hiyo waliobadilishwa kwenye vituo vya kazi nchi nzima muda mfupi mara baada ya Rais John Magufuli kumtumbua aliyekuwa kamishna wa TRA nchini,Charles Kicheeere.

Hatahivyo,tayari mrithi wa nafasi yake ,David Patrick Nyorobi aliyetokea jijini Dar es salaam ameshakabidhiwa ofisi na kutambulishwa rasmi mbele ya wafanyakazi na uongozi wa TRA siku ya jana Julai 4 mwaka huu.

Taarifa za uhakika zinadai ya kwamba Irene aliripoti wilayani Kahama siku mnamo Julai 3 mwaka huu mara baada ya juhudi zake za kuwashawishi mabosi katika ngazi za juu ili aendelee kubaki kwenye kituo chake cha zamani cha kazi kugonga mwamba.

“Alipokuwa kule makao makuu alikutana na viongozi wakubwa lakini walimweleza kwamba ama aende kwenye kituo chake cha kazi Kahama au akubali kuachia ngazi”kilisema chanzo cha habari

Meneja wa TRA wilayani Kahama,Warioba Kanire alipoulizwa taarifa za kuripoti kwa mtumishi wake hakuweza kukiri wala kukataa juu ya taarifa hizo huku akisisitiza kwamba waulizwe viongozi waliopo makao makuu ya TRA jijini Dar es salaam.

“Sasa mimi hayo siyawezi naomba uongee na makao makuu”alisema Kanire

Alipotafutwa Irene kwa njia ya simu ili kuthibitisha tarifa hizo alisema kwamba kazi anayoifanya ni kwa mujibu wa utaratibu na suala la uhamisho hilo halimhusu mwandishi kwa kuwa yeye sio afisa rasilimali watu kutoka taasisi ya TRA.

Kuripoti kazini kwa Irene kunahitimisha mjadala mpana ambao ulidumu kwa takribani wiki mbili katika mitandao ya kijamii mbalimbali ambapo baadhi ya watu wamesisitiza kwamba ni muda sasa umefika kwa watumishi wa serikali kuzingatia taratibu za kiutumishi ikiwa ni pamoja na kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi kwa mujibu wa sheria pindi serikali inapotangaza mabadiliko .

Mwisho.
 
Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    49.2 KB · Views: 95

Dada Irene ukikubali utumishi ujue umeolewa utaenda popote atakapotaka aliyekuoa
 
Wengine hukataa uhamisho kwa kuwa na madudu anajua akiinuka tu vijana wa kazi wanaingia kazini kupekua faili kwa faili Hadi kwenye mvungu wa meza aliyokuwa akikalia Kama alihifadhi hirizi
 
Toka msaidizi wa Meneja Mkoa kwenda kuwa Msaidizi Meneja wilaya hizo nazo ni FIGISU na kukatishana tamaa; huyu ni mzoefu ambaye anatakiwa kukabidhiwa mkoa wa kikodi
 
Inaonekana huna unalowaza zaidi ya majungu tu. Na ukizeeka utakuwa mchawi.
Halafu thread kama hizi sijui zinaachwa za nini humu?

Ku
Toka msaidizi wa Meneja Mkoa kwenda kuwa Msaidizi Meneja wilaya hizo nazo ni FIGISU na kukatishana tamaa; huyu ni mzoefu ambaye anatakiwa kukabidhiwa mkoa wa kikodi
kuna askari wa usalama barabarani jina nimemsahau alitoka kua mkuu wa usalama barabarani Tanzania na kua kamanda wa mkoa.Huyo nae unamzungumzuaje?
Au kutoka kua mwalimu wa sekondari kupelekwa shule ya msingi hao nao unawazungumziaje
 
Back
Top Bottom