Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Huyo abdul Mohamed ni handsome.
Kama ni huyu niliyekuwa nikimfahamu mimi mwaka 2007 pale sinza madukani mkono wa kushoto ukitokea legho Kwa mama J & H wale mapacha wakike na kiume basi HB tangu akiwa hana maisha.

😂😂maisha yanaenda kasi sana.kijana alikuwa mnyenyekevu Kwa kila mtu sijui kama atakuwa amebadilika
 
View attachment 560658 View attachment 560656 View attachment 560655

Naona bwana Mdogo Abdul Mohamed,General Manager wa Azam Sports Club ameachana na ukapela na hatimaye kufunga ndoa na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi.Zainabu Abdalah!!

Make up ya Bibi Harusi ipo Ok kabisa...Hakuna matata
Juma Aweso akiziona hizi picha lazima aingiwe tu na ule wivu wa kibinadamu hata kama alimpora jamaa mke wake.

Angetamani kuwa wa kwanza kumuona Bi. Zainabu! Ila ndiyo hivyo tena. Alichelewa, hata ndiyo mmiliki kwa sasa.
 
Kama ni huyu niliyekuwa nikimfahamu mimi mwaka 2007 pale sinza madukani mkono wa kushoto ukitokea legho Kwa mama J & H wale mapacha wakike na kiume basi HB tangu akiwa hana maisha.

maisha yanaenda kasi sana.kijana alikuwa mnyenyekevu Kwa kila mtu sijui kama atakuwa amebadilika
mkaka n handsome jaman, uwiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom