Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

Simple tu mkuu!!!

W'app→Settings→Charts→Themes utaikuta iko Light weka Dark umemaliza,usipoona update kwanza hiyo app.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Tunazungumzia insta
 
Tunazungumzia insta
Instagram app haina sehemu ya ku-set dark mode. Ila built-in dark mode pekee ndio huibadili Instagram kuwa dark. Kama android version yako hai-support dark mode, ingia Play Store tafuta app inaitwa dark mode (ina icon ya mwezi) ifungue alf chagua Night mode, ukiweka hii app itabadilika rangi na kuwa nyeusi. Hapo sasa utaweza kutumia dark mode kwenye instagram, ukitaka kuitoa utarudi kwenye app na kuweka Day mode.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walichokosea jamaa ni kweka automatic ili mchana iwe nyeupe usiku ibadilike
Simu yako ndio yenye haya matatizo hayo. Hawajaweka automatic ila wameweka system defualt, ukiweka dark mode ndio na yenyewe inabadilika ila sio kwamba ikifika usiku tu inabadilika
 

Attachments

  • Screenshot_2020-03-06-21-36-48-222_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2020-03-06-21-36-48-222_com.android.chrome.jpg
    95.7 KB · Views: 1
Siipendi night mode ila tu kwa sababu ule mwanga mweupe inanitoa machozi baadhi ya nyakati nikitumia simu.

Night mode inanisaidia ila siienjoy kiviilee
 
Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp.

Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp.

Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga mweupe na kuweka mwanga mweusi kwenye ukurasa wa whatsapp ukiwa unaitumia ili kulinda macho.

Sasa wale watumiaji wa android 9 na android 10 tunaanza kufurahia hiyo huduma na wale wa ios 13. Andoid 10 hii kitu iko automatic ukishaweka tu dark mode apps zote zenye dark mode hubadilika na kua dark au unaweza kuforce nyingine zote kwa kwenda kwenye developers mode kisha weka force dark mode.

Dark mode imezinduliwa leo, nenda whatsapp update kisha anza kufurahia huduma.

WhatsApp dark mode now available for iOS and Android

Kumbe naumia macho buree! Nilizima nighmode ya jf,
 
Kwa sasa karibu kila kitu ni dark mode ndo mpango mzima haiui macho
Mpk freebasic ina dark mode
Katika ujinga siwezi Fanya ni kutumia Yale ma GB wasap yaani mtakuja kujuta
 
Kwa nini wajute warumiaji wa GB watsapp mkuu ?
Yaani sometime developer wao muhindi akiwa anaifanyia app marekebisho na mambo mengine kama update.
Nawe uki update data zako zinaenda kwanzia ma group text zote unakuwa kama umeanza upya.
Sometime lakini sio kila Mara..!
Ilishwatokea watu wengi
 
Back
Top Bottom