Hatimae wanachama wa chadema walio fungwa miaka 3 waachiwa huru baada ya kushinda rufaa yao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae wanachama wa chadema walio fungwa miaka 3 waachiwa huru baada ya kushinda rufaa yao.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tukundane, Jul 20, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Wanachama wa cdm waliohukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na mahakama ya mwanzo ya kijiji cha iyula wilayani mbozi. kwa kosa la kumtishia mwenyekiti wa kijiji cha ichesa wameachiwa huru na mahakama ya wilaya mbozi baada ya kuonekana kuwa walifungwa isivyo halali na mahakama hiyo. na kwamba kesi yao ilikuwa ni ya kisiasa zaidi.
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Ni vyema sana
   
 3. M

  Mnyalu-DSM Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du!.aibu!!!.hivi walifungwa lini vile?
   
 4. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Ccm bwana kuanzia mahakama za mwanzo wameweka makada
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ritz Jana alikuwa hapa akishabikia sijui Leo atasemaje
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wao wana pesa sie tua MUNGU...
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Ajabu!!hii issue nimeiona jana tu ina maana tayari rufaa imeshasikilizwa na kutengua hukumu?vyovyote iwavyo nimeshukuru sana kuachiwa wapiganaji wetu hao.
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mi niliuliza hivi mahakama za mwanzo zinasikiliza kesi za mauaji/kutishia kuua? Sikujibiwa. Siku hizi inaonekana wanasheria maadili yao yanawazuia kuingia jf.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,840
  Trophy Points: 280
  Mungu ni mwema wakati wote!
   
 10. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kuachiwa na mahakama ya wilaya tayari walikuwa wamesha tumikia mwezi 1.
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Poleni makamanda! Karibuni tena tuendeleze mapambano ya kulikomboa taifa!
   
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mh! Unaweza kuwambia waTanzania Mungu wa chama chako anaitwa nani?

  Sent from my Z3 using Tapatalk 2
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Jehovah,allah,yahweh,yhwh,the almight God.
   
 14. j

  joyous Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kichaka(mahakama) cha serikali ya ccm kinaota miiba sasa!
   
 15. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  "JEHOVA JIRE" "NIKO ambaye NIKO" Ndiye Mungu wetu!

   
 16. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  The everlasting Jehovah El-shaddai, Elyon! Viva Chadema viva!
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli ukiwa chadema unapata raha tu
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu kwa kutujulisha...
   
 19. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "Bwana amejaa huruma na neema....." (Zab. 103:8)
   
 20. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  siyo hivyo bwana; daima haki ya mtu haipotei labda itokee icheleweshwe tu.
   
Loading...