HATIMAE UTURUKI YAANZA KUPOKEA MZIGO WA SILAHA ISIYOPENDWA NA MAREKANI S400

kendy

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
266
494
Uturuki imeanza kupokea silaha kutoka Urusi aina ya S400,silaha hii ilipingwa sana na Marekani kwa Uturuki kuinunua kutoka Urusi.Uturuki ni mwanachama wa NATO, na ana makubaliano ya kununua ndege hatari sana kutoka USA aina ya F 35.
-Marekani ametishia kusitisha kuiuzia Uturuki ndege hiyo iwapo atang'ang'ania kununua s400
- uanachama wa Uturuki kwa NATO mashakani,kwa kuwa amemkaidi Mkuu wa NATO.
soma habari kwa kiingereza hapa chini



Russia starts delivery of S-400 to Turkey as US ramps up pressure on Ankara over deal
Turkey has received the first shipment of S-400 air defense missile system equipment from Moscow, defying pressure from Washington to scrap the arms deal with Russia
Turkey has received the first shipment of S-400 air defense missile system equipment from Moscow, defying pressure from Washington to scrap the arms deal with Russia.
The components arrived at the Murted military airfield outside Ankara on Friday, the nation’s Ministry of National Defense said in a short statement. Russia’s Defense Ministry has also confirmed that the shipment has started and will continue as scheduled.
Both countries signed a contract for the delivery of four S-400 batteries in 2017. The contract earned Ankara the ongoing row with Washington, which strongly opposes the deal, claiming the purchase of advanced Russian-made weapons undermines the security of NATO and goes against American interests.

In order to pressure Ankara into dropping the contract with Russia, the US suspended the shipment of fifth generation F-35 jet fighters to Turkey. Last month, the Pentagon revealed plans to phase out Turkey’s participation in the F-35 program altogether by July 31. A senior US defense official told Reuters that Ankara should brace for “ramifications” for its economy as well, if it sticks to the S-400 agreement with Moscow.

Turkey has repeatedly rebuffed calls from the US to scrap the deal, saying it is free to choose the countries it buys weapons from. Turkish President Recep Tayyip Erdogan said excluding the nation from the F-35 program would be “robbery,” since Ankara has already invested money in it.
1151931
 

Attachments

  • 1562933885374.png
    1562933885374.png
    14.6 KB · Views: 25
Sasa itakuwa rahisi kwa NATO kuisoma vizuri hiyo S-400, kuangalia udhaifu wake n.k
Russia inaweza ikawa inajiingiza mkenge kwa kupenda fedha!
Marekani ndio anahofu Ndege zake F35 kudukuliwa na S-400...kwamba sasa Mrusi atajua tecnolojia ya hizo ndege ndio maana anatishia kusitsha mkataba wa kumuuzia ndege 100..

Sasa hapo utaona nani mwenye hofu ya Kudukuliwa.
 
Litawezekana kwingine sio kwa mrusi,s400 itafanya kazi inavyotakiwa iwashe ili uisome itakuzikia na ndipo utaelewa mrusi nuksi fuatilia mig 25 baada ya kutoloshwa.
Mkuuu umeona mbali haswaa, ukijidai kuidis assemble inakusambaza vibaya mnooo
 
Sidhani kama Uturuki itakubali kutumiwa S-400 kwa kuangalia udhaifu wake, kwa sababu yeye mwenyewe anajilinda kivyake, anajua kuwa time yyte Nato wanaweza kumgeuka, S-400 ni gharama sana, na zimenunuliwa na Uturuki kwa ajili ya kujilinda.
Sasa itakuwa rahisi kwa NATO kuisoma vizuri hiyo S-400, kuangalia udhaifu wake n.k
Russia inaweza ikawa inajiingiza mkenge kwa kupenda fedha!
 
ajabu zaidi uturuki ina share kwenye program ya kuunda F-35,na kuna baadhi ya componets za F-35 zinaundiwa uturuki,sasa marekani anatumia tu mabavu kuinyima uturuki ndege zake,uturuki alishakabidhiwa ndege nne za F-35,ila zilikuwa bado ziko marekani marubani wa uturuki wakifanya nazo mazoezi,sasa hata hizo nne marekani hataruhusu zitoke na ili kurudisha pesa itabidi uturuki aziuze kwa nchi kama israel etc
 
ajabu zaidi uturuki ina share kwenye program ya kuunda F-35,na kuna baadhi ya componets za F-35 zinaundiwa uturuki,sasa marekani anatumia tu mabavu kuinyima uturuki ndege zake,uturuki alishakabidhiwa ndege nne za F-35,ila zilikuwa bado ziko marekani marubani wa uturuki wakifanya nazo mazoezi,sasa hata hizo nne marekani hataruhusu zitoke na ili kurudisha pesa itabidi uturuki aziuze kwa nchi kama israel etc
Atauzaje kitu ambacho hajakimiliki bado. Na bado wanataka kuondolewa mazima kwenye program ya F-35.
 
Turkey ni moja ya wadau walioweka pesa kwenye hiyo program,na tayari walishapokea ndege nne ambazo bado ziko katika ardhi ya marekani zikifanyiwa mazoezi na marubani wa Turkey
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom