HATIMAE UTURUKI YAANZA KUPOKEA MZIGO WA SILAHA ISIYOPENDWA NA MAREKANI S400

Hivi hizi ndege za Antonov kiwanda chake kilikuwepo Ukraine na warusi wanadai wanataka kutengeneza upya hizi ndege za mizigo ambazo hata ulaya wakitaka kusafirisha mizigo mizito huenda kukodi izo ndege Urusi, huu mzozo uliishia wapi?
 
Uzuri Turkey wanazo hizo 4 so wkt technicians wa kirusi wakitest s-400 hapo turkey kwa kutumia hizo ndege 4 zilizoko huku wanazisoma mapungufu yake fresh kabisaaa.

F-35. Zinaenda kua uchi kwa warusi.
Atauzaje kitu ambacho hajakimiliki bado. Na bado wanataka kuondolewa mazima kwenye program ya F-35.
 
Hivi hizi ndege za Antonov kiwanda chake kilikuwepo Ukraine na warusi wanadai wanataka kutengeneza upya hizi ndege za mizigo ambazo hata ulaya wakitaka kusafirisha mizigo mizito huenda kukodi izo ndege Urusi, huu mzozo uliishia wapi?
Urusi wanazo za kukodisha. Kiwanda still kiko Ukrine
 
Hivi hizi ndege za Antonov kiwanda chake kilikuwepo Ukraine na warusi wanadai wanataka kutengeneza upya hizi ndege za mizigo ambazo hata ulaya wakitaka kusafirisha mizigo mizito huenda kukodi izo ndege Urusi, huu mzozo uliishia wapi?
Kulikuwa na Mgogoro yes make inasemekana kiwanda kikuwa Urusi kikahamishiwa Ukrine enzi hizo na Warusi wanadai wana haki ya kuzalisha hizo ndege
 
Hahaha Russia wako busy kuproduce kitu cha s-500 ..nyinyi mnahangaika na hiyo old model ..kweli mmefilisika kwa mawazo
S-400 is tot old, hiyo 500 haijaanza kazi nayenyewe tutahangaika nayo pia.
 
S-400 is tot old, hiyo 500 haijaanza kazi nayenyewe tutahangaika nayo pia.
Russia’s advanced S-500 SAM ‘ready for series production’ – minister
The S-500 Prometey, Russia’s next-generation surface-to-air long-range missile system, has completed most of its trials and is ready to go into series production, according to the Russian industry and trade minister.
The development of the system is in its “final phase” after each element of the system was tested individually, Denis Manturov told Interfax in an interview. The current work is focused on checking the S-500’s performance as an integrated system.
“All main specifications of the air defense system have been confirmed during the tests and it is now ready for series production,” he said, adding that the hardware will be delivered to the Defense Ministry on schedule.
Also on rt.com Test launch of new Russian anti-ballistic missile caught on VIDEO
The S-500 is the newest incarnation of long-range air defense systems produced by Almaz-Antey, a leading Russian defense contractor. The specifications of the system remain classified, but according to defense sources and interviews with company officials it will have greatly enhanced anti-missile capabilities compared to the current S-400 SAM, thanks to new phased array target acquisition radar.

1154071
 
Turkey ni moja ya wadau walioweka pesa kwenye hiyo program,na tayari walishapokea ndege nne ambazo bado ziko katika ardhi ya marekani zikifanyiwa mazoezi na marubani wa Turkey
Russia ‘ready to cooperate’ to sell Turkey Su-57 fighter jets

Russia was “ready to cooperate” to sell Ankara Su-57 fighter jets if Turkey’s participation in the F-35 jet program with the U.S. fell through, the head of the Russian state-owned Rostec Corporation’s Sergey Chemezov said on May 2.


“These fifth-generation Russian fighter jets [Su-57] have outstanding qualities, and show promise for export,” he told Turkey’s state-run Anadolu Agency, adding that the jets were ready to be sold.


Asked about possible production in Turkey of the S-400 and Su-57, Chemezov said Russia would “gladly evaluate” any Turkish suggestions for localization or transfer of technologies.


Emphasizing Turkey’s progress since the early 2000s to replace imports in its defense industry, he said the country was highly competent in producing rifle armaments, armored vehicles and unmanned aerial vehicles.


“We are ready to support Turkey’s desire to develop its own defense industry,” added Chemezov.
 
Back
Top Bottom